Friday 14 June 2013

Fw: [wanabidii] Re: NSSF Yaandaa Chakula cha Mchana na Wastaafu

Yona, nafikiri wadau pengine wanahitaji taarifa zaidi kuhusu shughuli za NSSF na namna wanavyo fanya uwekezaji.
Wakati mwingine kutokuwa na taarifa za kutosha inaweza ikawa ni tatizo pia la ufahamu. 
 
Sina uhakika kama NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama mmoja mmoja,
ila najua ya kuwa kuna vyama vya akiba na mikopo ambavyo vinawanachama wao vinaweza kunufaika na mikopo.
Nimewahi kuhudhuria mafunzo yatolewayo na watumishi wa NSSF na kuna kazi ninafanya nao pia., ndio maana kidogo nina ufahamu.
 
 
----- Forwarded Message -----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, June 14, 2013 10:41 AM
Subject: [wanabidii] Re: NSSF Yaandaa Chakula cha Mchana na Wastaafu

Mipango ya NSSF Kuhusu uwekezaji na masuala mengine wanayoyafanya wao
kama shirika haikuhusu wewe tekeleza wajibu wako na mwajiri wako wa
kuchangia mfuko huo kwa maendeleo ya taifa ,

On Jun 14, 11:13 am, MaryGlady Heri <mgla...@gmail.com> wrote:
> ndio hapo wanahitaji kuwajibishwa jamani pesa yangu nachangia lakini
> nikitaka mkopo sipewi why?? kuandaa sherehe kuna mantiki yeyote?
>
> 2013/6/14 mngonge <mngo...@gmail.com>
>
>> > Pesa hizo zinatoka kwa wachangiaji wa mfuko hilo halina ubishi, kwni wewe
> > unafikiri kuna mzungu kaleta fedha hizo? Ni hizo hizo tu, ni mwendo wa maji
> > kutoka nchi kavu kuelekea ziwani au baharini yaliko mengi zaidi
> > Swali ninalojiuliza ni je hiyo miaka 15 ya uchangiaji ili uweze kulipwa
> > inaendana vipi na umri wa kuishi wa mtanzania kwa sasa? Wajanja hao
> > wameweka vijisheria kibao ili michango yako wabaki nayo
>
> > 2013/6/14 MaryGlady Heri <mgla...@gmail.com>
>
> >> Naomba niwe kama masanje wa orijino komedi-Hizo pesa wametoa wapi za
> >> kufanya hiyo sherehe-
> >> chakula
> >> ukumbi
> >> mapambo
> >> vinywaji
> >> bahasha ya mgeni rasmi????
>
> >> 2013/6/13 Joachim Mushi <mushi...@gmail.com>
>
> >>> NSSF Yaandaa Chakula cha Mchana na Wastaafu Dar Leo
>
> >>> Na Thehabari.com
>
> >>> SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo limejumuika pamoja kwa
> >>> kula chakula cha machana na baadhi ya wastaafu wanaohudumiwa na mfuko huo
> >>> hadi sasa baada ya kustaafu kazini wakiwa wanachama wa mfuko huo.
>
> >>> Akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkurugenzi Uendeshaji wa
> >>> NSSF, Crescentius Magori alisema tukio hilo la kukutana na wastaafu
> >>> wanaonufaika na mafao ya uzeeni na kula chakula cha pamoja ni la kawaida
> >>> kila mwaka na ufanyika katika mikoa mbalimbali nchini.
>
> >>> Magori alisema mbali na kujumuika katika chakula wastaafu hao wanufaika
> >>> na mafao ya uzeeni hupata fursa ya kukutana na wafanyakazi wa shirika hilo
> >>> na kubadilishana mawazo ikiwa ni pamoja na kuwasikiliza na kujua
> >>> wanavyoendelea katika maisha yao ya kustaafu.
>
> >>> Alisema mbali na zoezi hilo lililowakutanisha mamia ya wastaafu muda
> >>> mwingine wafanyakazi wa NSSF huwatembelea baadhi ya wastaafu maeneo
> >>> wanaoishi ili kujua maendeleo yao, ikiwa ni pamoja na kupata maoni yao juu
> >>> ya huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo.
>
> >>> "Leo tumekutana na wastaafu tunazungumza nao na kuwasikiliza hoja
> >>> zao...na si hivyo tu sisi ni kawaida yetu mstaafu endapo tunabaini kuwa
> >>> hajafika kwa miezi kadhaa mwenyewe kuchukua malipo yake pale Posta basi
> >>> lazima tumtembelee na kujua nini kimetokea, kwa hiyo jambo kama hili la
> >>> kukutana na wanufaika wa huduma zetu mara kwa mara ni utaratibu wetu,"
> >>> alisema Magori.
>
> >>> Naye mgeni rasmi wa hafla hiyo, Naibu waziri wa Kazi na Ajira, Dk.
> >>> Makongoro Mahanga  aliipongeza NSSF kwa kuwa na utaratibu wa kuwakumbuka
> >>> waliokuwa wanachama wao ambao kwa sasa wananufaika na mafao ya uzeeni na
> >>> kuongeza kuwa utaratibu huo ni wa kuigwa na mifuko mingine.
>
> >>> "Binafsi nimependa utaratibu huu wa kujumuika pamoja na wastaafu, maana
> >>> ingekuwa ni wengine wasingeliwakumbuka tena ukizingatia nyie (wastaafu)
> >>> sasa haichangii tena zaidi ya kulipwa...lakini NSSF bado wanawakumbuka na
> >>> kuwajali hili ni jambo jema," alisema Dk. Mahanga.
>
> >>> Aidha alishauri mikutano ya kukutana na wastaafu hao mara nyingine iwe
> >>> na muda mrefu zaidi ili wazee wapewe muda wa kutosha kutoa maoni, kuuliza
> >>> maswali na kujibiwa juu ya masuala mbalimbali ya huduma za NSSF.
>
> >>> Baadhi ya wastaafu hao pia waliusifia utaratibu huo na kuushukuru
> >>> uongozi wa NSSF kwa kuwakumbuka hivyo kushauri utaratibu kama huo uendelee
> >>> kwani ni mahali pekee ambapo wao hupata muda wa kutoa maoni yao juu ya
> >>> huduma anuai za NSSF.
>
> >>> ~Imeandaliwa nawww.thehabari.com
>
> >>> _______________________________________________________________________
> >>> Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
> >>> *Mail address:-* mu...@thehabari.com/ jomush...@yahoo.com/
> >>> i...@thehabari.com
> >>> *Mobile:-* 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
> >>> *Web:-*www.thehabari.com
> >>>          http://joemushi.blogspot.com/
>
> >>> --
> >>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> ukishatuma
>
> >>> Disclaimer:
> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>> ---
> >>> You received this message because you are subscribed to the Google
> >>> Groups "Wanabidii" group.
> >>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> >>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> >>  --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> >  --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



0 comments:

Post a Comment