Tuesday 14 May 2013

[wanabidii] SILAHA YANGU MSALABA

 Mwandishi wa makala hii alikuwa ni mmoja wa waamini waliotembea na kutembelewa na msalaba huu. Kilichonigusa kuandika makala hii ni jinsi ambavyo watu baki, yaani majirani wa madhehebu mengine walivyokuwa nao kwa namna moja ama nyingine walikuwa wakifurahia na kutabasamu na kupunga mikono kila tulipopita na msalaba wetu. Nikajiuliza moyoni; "Huu mpasuko tunaoambiwa wa kiimani ni nadharia au uko katika levo nyingine"? Kiukweli Watanzania, hususan majirani zangu tunaoishi mtaa mmoja, tunaofanya kazi pamoja, hakuna hata chembe moja ya udini. "HAKUNA" Hata msikiti wa hapa kwetu unatumika kutangaza matangazo mbalimbali hasa ya misiba yote iwe ya kikristo au ya dini nyingine. Hakuna Udini Tanzania, labda kama kuna sera za udini lakini watanzania kwa kweli hatuna udini, walao basi katika mtaa, kazini na mahali pote ninapofanya shughuli zangu za kila siku.

Soma zaidi hapa:
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/05/silaha-yangu-msalaba-ndivyo-walivyokuwa.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment