Sunday 19 May 2013

[wanabidii] Re: Wabunge na Sera ya Gesi

Wandugu,
Kwa hakika Chenge ana roho ngumu na anajua hasa anachokitetea na ni kwa masirahi ya nani! 

Ukiangalia historia ya chenge na jinsi anavyolalamikiwa juu ya mikataba kwenye sector ya madini na mambo mengine usingetegemea awe na msimamo aliouonyesha kwenye seminar waliofanyiwa wabunge juu ya Sera ya Gesi. 

Soma makala hii uone anavyo tofautiana na wabunge wenzake wote wa CCM na Wapinzani waziwazi. Wabunge wa CCM wengine wamefika mbali kua wote wanaoiingiza nchi kwenye mikataba mibovu wakatwe vichwa.
Alexander

0 comments:

Post a Comment