Friday 17 May 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Leo Mchana Nitazungumza Na Wanafunzi Wa Tumaini University Iringa...

Naungana na Deo, kwa kuwa inahusu social media, si haba ukitumegea wanajamvi, nadhani pia wanahitaji carrier guidance 

From: "va_ntetema5@yahoo.co.uk" <va_ntetema5@yahoo.co.uk>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, May 17, 2013 1:46 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] Leo Mchana Nitazungumza Na Wanafunzi Wa Tumaini University Iringa...

All the best! Be careful with Defenders za kubeba watetezi wa haki za wananchi na waandishi! Kaa mbali na sare za khaki. Ukinusa hatari kaa katikati ya kundi la wanafunzi. Ukiona sare na fimbo zinakuzunguka "sepa"! Rekodi kila unachokisema na wanachokisema kwa kutumia mashine tatu tofauti. Moja shika mwenyewe na nyingine wape watu wawili wasiojua mwingine kapewa recorder. Baada ya semina kama iliamsha hisia kali "sepa" wala usimtoe mtu. Hii yote ni tahadhari yasikukute ya ndugu zetu Mwangosi, Kibanda na Ulimboka na hata Godbless! Kumbuka spray ya ganzi, boxing gum, bullet-proof vest, helmet na gloves! Ushauri tu, ndugu yangu Maggid! Joke aside, be careful, please! Blessings!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania

From: "Deogratius J. Koyanga" <deokoyanga@gmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Fri, 17 May 2013 12:44:03 +0300
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [Mabadiliko] Leo Mchana Nitazungumza Na Wanafunzi Wa Tumaini University Iringa...

ahsante kaka, kila la heri, natamani kupata hiyo presentation yako, kuna vitu muhimu vya kujifunza.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
"Ufalme wa Mungu umekaribia, Tubuni na kuiamini Injili..."Mark 1:15

2013/5/17 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Ndugu zangu,

Leo saa saba mchana nimealikwa kuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye hadhara ya wanafunzi wa Tumaini University( Iringa) kwenye Media Day iliyoandaliwa chuoni hapo.

Nitaongelea nafasi ya Social media katika kujenga jamii ya uwazi, yenye taarifa na maarifa na hivyo kupanua uhuru wa fikra, demokrasia na maendeleo ya kiuchumi ktk nchi. Nitagusia pia suala la maadili.

Maggid,
Iringa.
0754 678 252
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment