Friday 17 May 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Leo Mchana Nitazungumza Na Wanafunzi Wa Tumaini University Iringa...

ahsante kaka, kila la heri, natamani kupata hiyo presentation yako, kuna vitu muhimu vya kujifunza.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
"Ufalme wa Mungu umekaribia, Tubuni na kuiamini Injili..."Mark 1:15


2013/5/17 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Ndugu zangu,

Leo saa saba mchana nimealikwa kuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye hadhara ya wanafunzi wa Tumaini University( Iringa) kwenye Media Day iliyoandaliwa chuoni hapo.


Nitaongelea nafasi ya Social media katika kujenga jamii ya uwazi, yenye taarifa na maarifa na hivyo kupanua uhuru wa fikra, demokrasia na maendeleo ya kiuchumi ktk nchi. Nitagusia pia suala la maadili.

Maggid,
Iringa.
0754 678 252

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment