Wednesday 15 May 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Bunge Maalum la katiba

Wewe unangalia ukumbi, mimi naangalia ratio ya ndiyooo vs wabunge wa
chadema na asasi zisizo za kiserikali kwa wanaweza kudhibiti ndiyoo,
ambayo kwa sasa inahusisha na cuf

On 5/15/13, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
> Muundo wa Bunge Maalum la Katiba:
>
> Litaundwa na wafutao;
>
> a) wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
>
> b) wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar
>
> c) wajumbe mia moja sitini na sita watakaoteuliwa kutoka asasi zisizokuwa za
> kiserikali
>
>
>
> Kwa maana hiyo:
>
> a) Idadi ya Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano ni = 357
>
> b) Idadi ya wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ni 81
>
> c) Idadi ya wajumbe kutoka asasi zisizokuwa za kiserikali ni 166
>
>
>
> 357
>
> 81
>
> 166
>
> Jumla ni 604
>
>
>
> Bunge Maalum la katiba litakuwa na Jumla ya Wabunge 604. Naomba mnifahamishe
> tafadhali:
>
> Je Bunge letu la sasa lina viti vya kutosha vitakavyotosheleza wabunge wote
> hao? Kuna seats ngapi katika jengo la Bunge?
>
> Je ni namna gani wataweza kuweka utaratibu wa uchangiaji? ili kila anayetaka
> kuchangia apate nafasi ya kuchangia? au watakuwa wanakesha masaa 24?
>
> Je wajumbe 166 watapatikana vipi
>
> Na je watalipwa shilingi ngapi? kwa siku ngapi na itatugharimu kiasi gani
> cha fedha?
>
> Je na wao watakopeshwa mashangingi??
>
>
>
> Asante sana kwa mssada wenu.
>
>
>
> Selemani
>
>
>
>
>
>
> From: srehani@hotmail.com
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Subject: RE: [Mabadiliko] Sheria ya Mabadiliko ya Katiba-Mchakato wa Katiba
> Kusimama?
> Date: Wed, 15 May 2013 08:12:34 +0000
>
>
>
>
> Sheria ya mabadiliko ya katiba kifungu cha 'Uhuru wa Tume', kinasema hivi:
> 'Tume itakuwa na mamlaka na uhuru kwa kadri itakavyokuwa muhimu kwa ajili ya
> utekelezaji wa majukumu na mamlaka yake chini ya sheria hii na haitaingiliwa
> na mtu au mamlaka yoyote"'
>
> Naomba tutafakari kifungu hiki wakati mchakato wa kufungua kesi kusimamisha
> mchakato huu wa mabadiliko ya katiba ukiendelea.
>
> Selemani
>
>
>
>
>
> Date: Mon, 13 May 2013 18:48:27 -0700
> From: ananilea_nkya@yahoo.com
> Subject: Re: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
>
> Bora mdogo wangu Selemani umelisema hili. Watu wanadhani katika nchi ambayo
> ufisadi ndio unatawala kuna mamahakama inaweza kuwa huru hasa katika
> masuala nyeti yanayogusa maslahi ya watawala.
>
> Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
>
>
> From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
> To: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Sent: Monday, May 13, 2013 1:02 PM
> Subject: RE: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
>
>
>
>
>
>
>
> Vin,
>
> Kufuata njia ya kisheria kuna manufaa pale tu nchi inapokuwa na utawala bora
> na kuna mgawanyo wa madaraka. Hakuna mhimili ambao unaweza kuuingilia
> mhimili mwingine. Katika mazingira yetu hapa ambapo kuna mhimili mmoja tu
> wenye nguvu nao ni executive kufuata hizo njia za sheria ni kupoteza muda
> wako bure. Nchi kama zetu zinakwenda kwa mashinikizo tu.
>
> Hivi mmesahau kesi ya Mtikila juu ya mgombea binafsi? mmeshau namna ambavyo
> mahakama inachezewa? mnakumbuka sakata la mgomo wa waalimu na serikali?
> Serikali ilipeleka maombi ya kuitaka mahakama itamke kuwa mgomo si halali na
> batili na ikapeleka maombi hayo nje ya muda wa kazi? hukumu ikasomwa baada
> ya saa za kazi na taarifa ikasambazwa usiku na ikatoka katika vyombo vya
> habari kuwa mgomo ni batili eti mahakama imekubaliana na serikali kuwa
> itakuwa ni hasara kubwa kuendelea na mgomo huo? mmesahau?
>
> Halafu nauliza hapa: ni kwa hoja zipi? na kwa vifungu vipi vya sheria? na je
> hamjui kuwa DPP anao uwezo wa mwisho wa kuitupilia mbali kesi yoyote ile? au
> inaweza isipangiwa jaji mpaka mchakato ukawa umefika mbali? yote haya
> hamyaoni??
>
> Sawa mimi yangu macho.
>
> Selemani
>
>
>
>
> Date: Mon, 13 May 2013 14:16:52 +0300
> Subject: Re: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
> From: vmhangwa@gmail.com
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
> Tutimize wajibu wetu kwa kufuta njia ya kisheria na pia tutafika kwa
> wananchi na ndipo nguvu ya itakapotumika kuikataa Rasimu mbovu ya Katiba na
> kuitisha ile tunayoitegemea.
> Vin
>
>
>
> 2013/5/13 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>
>
>
> Sina imani na mahakama za Tanzania na wala siamini kuwa mchakato wa Katiba
> unaweza kusimamishwa kupitia Mahakamani. Aidha siamini hata kidogo kuwa
> tunaweza kupata katiba tunayoitaka kupitia Mahakamani. Bali naamini kuwa
> mchakato wa katiba unaweza kusimamishwa mitaani, Mazense, kwa Mtogole,
> sinza, Buguruni, Mabwepande, Ubungo, Tabata, Masaki, Upanga, Mbagala, Ukonga
> na kwingineko. Mchakato unaweza kusimamishwa kwa nguvu ya umma, yaani
> mitaani na si mahakamani na pia naamini kuwa hata katiba nzuri tutaipata kwa
> kutumia nguvu ya umma, yaani mtaani na si kwingineko. Kwenda Mahakamani ni
> wazo zuri lakini ni kupoteza muda bure. Wanasheria watuelimishe katika hili,
> unakwenda kusimamisha mchakato kwa hoja ipi unayoweza kuthibitisha? na kwa
> vifungu vipi vya sheria? Tuelimishane.
>
> Je mnakumbuka suala la mgombea binafsi???
>
> Selemani
>
>
>
>
> Date: Mon, 13 May 2013 02:20:28 -0700
> From: marcossy@yahoo.com
>
> Subject: Re: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
>
>
> Vin,
> Mchango wa kwanza ni kutangaz na kuhamasisha wananchi wajue kinachotokea...
> wajue na sababu zake au kwa nini uko haja kuzuia ujinga huu.
> Mengine yataendelea.
> Marc 6
>
>
>
>
>
>
>
> From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
> To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Sent: Monday, May 13, 2013 12:13 PM
> Subject: Re: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
>
>
>
>
> Great! Tuambieni tuchangie nini kuwezesha hii move ya Jukwaa la Katiba
>
>
>
> 2013/5/12 Nyagawa Alatanga <lutondwe@gmail.com>
>
>
> kiukweli mimi naunga mkono judhudi za jukwaa la katiba.Nchi yetu ina watu
> wengi ambao wapo wapo tu.Wao kwa lugha rahisi ni popo.Haiwezekani watanzania
> tukanyamaza wakati dalili za kuchakachua katiba ziko wazi.Dawa iliyobaki kwa
> tume yetu ni kuhakikisha kuwa wanapelekwa katika chombo cha kisheria.Hivi
> kweli mzee Warioba hayaoni mapungufu ya mabaraza ya wilaya ya katiba?Kweli
> Tz tuna vilaza.
>
>
>
>
> 2013/5/12 <va_ntetema5@yahoo.co.uk>
>
>
>
>
> Kuunga mkono juhudi na jitihada za Jukwaa la Katiba ni muhimu. Wananchi
> tuandamane kwa pamoja katika siku moja kila mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji.
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania
>
> From: Felix Mpozemenya <felixonfellix@gmail.com>
> Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Date: Sun, 12 May 2013 20:29:19 +0300
> To: mabadilikotanzania<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Subject: Re: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
>
>
>
>
> seconded!!
>
>
>
>
> 2013/5/12 Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
>
> Ndugu, una mchango gani hapa?
>
>
> On 5/12/13, va_ntetema5@yahoo.co.uk <va_ntetema5@yahoo.co.uk> wrote:
>> Haki ya wananchi haipotei. Upatikanaji wake unaweza kucheleweshwa lakini
>> itapatikana tu. Mchakato mzima kama unatiliwa shaka, na sababu za
>> kutiliwa
>> shaka zipo wazi ikiwemo na ile ya rushwa, basi ni lazima usitishwe na
>> ufumbuzi upatikane kabla ya kuendelea na shughuli nzima! Wananchi ndiyo
>> wamiliki wa katiba. Kama hawaridhiki na mchakato wenyewe, basi
>> tuwasikilize!
>> Mungu iokoe Tanzania!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania
>>
>
>> -----Original Message-----
>> From: albanie marcossy <marcossy@yahoo.com>
>> Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> Date: Sun, 12 May 2013 00:27:06
>
>
>> To: Mabadiriko Tanzania<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Reply-To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> Subject: [Mabadiliko] Mchakato wa Katiba Kusimama?
>>
>> Wandugu,
>> Nimeitoa hii kwenye fb page ya Hebron Mwakagenda. Huyu ni mjumbe wa Bodi
>> ya
>> Wakurugenzi (Kamati ya Uongozi) wa Jukwaa la Katiba. pamoja na kuwa
>> taarifa
>> hii si 'official' lakini ni sahihi.
>>
>> Sasa ni wazi kuwa Jukwaa la Katiba Tanzania limeshakamilisha taratibu
>> zote
>> na wiki ijayo wanakwenda mahakamani kusimamisha mchakato wa katiba
>> kwasababu ya kuchezewa kwa chaguzi za mabaraza ya katiba na Mzee Warioba
>> amesema yeye hahusiki kabisa na uchaguzi huo hivyo mchakato wa kuandika
>> katiba kwa sasa umekosa uongozi kabisa. Tunawaomba watanzania mtuunge
>> mkono tuna kikosi cha mawakili 10 ambacho kitashughulika na kesi hii
>> muhimu kwa taifa letu. Ratiba yao ilionyesha kuwa wangetoa rasimu ya
>> katiba 9/5/2013 na sasa wameshindwa na hawajatoa taarifa kwa umma
>> kwanini wameshinda wakati kila fedha waliozohitaji tumewapa tuna hali
>> ngumu sana kama taifa.
>>
>> Tujadili.
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forums" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
> --
>
> Felix W. Mpozemenya
> Mobile: +255 766 468421
>
> +255 786 868585
> Email: felixonfellix@gmail.com
> Blog: geofemtz.blogspot.com
> Skype: felix_mpozemenya

> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com

> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment