Saturday 18 May 2013

[wanabidii] Re: LIPUMBA : KUNA NJAMA ZA KUMUONGEZEA JK MUDA

Kuna kipindi Mhe zitto kabwe aliwahi kunukuliwa akitoa maoni yake
kuhusu kuongezewa muda kwa rais kikwete , baadaye akaja na kauli ya
kutaka kugombea urais leo lipumba anasema kuna njama za kumuongezea jk
muda , nalo jukwaa la katiba linaenda mahakamani mchakato wa katiba
hauko vizuri - unadhani tunapelekwa wapi ?

On May 18, 11:04 am, Fred Hans Kipamila <fhkipam...@yahoo.com> wrote:
> Huu ni upuuzi, kila siku zinapokaribia kipindi cha kiongozi mkuu wanaonufaika na kuwepo kwake madarakani hufikiria kuongezeka muda wa utawala wa kiongozi huyo. JK ni mtu makini hawezi kuwa na mawazo finyu kama hayo. Sikutegemea prof kusema masuala ya mitaani kwenenye kikao kikuu cha chama anachokiongoza. yawezekana ni hofu yake kwa JK maana amegombea naye mara 2 na kugaragazwa vibaya
>
> --- On Fri, 5/17/13, richard bahati <ribah...@gmail.com> wrote:
>
> From: richard bahati <ribah...@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: LIPUMBA : KUNA NJAMA ZA KUMUONGEZEA JK MUDA
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, May 17, 2013, 10:25 AM
>
> Duh! yote kheri ilimradi gurudumu la maendeleo na amani viwepo
>
> 2013/5/17 fadhil fadhil <fadhil.fadhi...@gmail.com>
>
> mh ya Zitto yametokea wapi tena, alishawahi kujibu hilo kwamba
>
> anaamini katiba mpya itapunguza umri wa kugombea urais na kuwa chini
>
> ya miaka 40
>
> On 5/16/13, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> > Mungu apishilie mbali.............................
>
> > 2013/5/15 ezekiel kunyaranyara <ekunyarany...@yahoo.co.uk>
>
> >> Eng,
> >> Umeiona hiyo ndugu yangu!!!!!
>
> >> K.E.M.S.
> >>   *From:* denis Matanda <denis.mata...@gmail.com>
> >> *To:* wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >> *Sent:* Wednesday, 15 May 2013, 5:38
> >> *Subject:* Re: [wanabidii] Re: LIPUMBA : KUNA NJAMA ZA KUMUONGEZEA JK
> >> MUDA
>
> >>  Duh..................
>
> >> 2013/5/15 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> >> Ndio maana mhe zitto kabwe alitangaza mapema kugombea urais kwenye
> >> uchaguzi ujao , wengi waliuliza itakuwaje mbona atakuwa hajafikisha
> >> miaka 40 ? jibu limepatikana .
>
> >> On May 15, 12:09 pm, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
> >> > Wakati akifungua kikao cha Baraza Kuu la CUF, Mwenyekiti wa chama
> >> > hicho,
> >> > Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo
> >> kwa
> >> > mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani.
>
> >> > Anaripotiwa kusema nyongeza ya miaka 2 baadaya mwaka 2017, inatokana na
> >> > wasiwasi kuwa mchakato wa Katiba Mpya hautaweza kukamilika mwaka 2014
> >> hivyo
> >> > kutokuwa rahisi kwa uchaguzi kufanyika mwaka 2015.
>
> >> > Gazeti la Mwananchi linasema madai hayo ya yamepingwa vikali na
> >> > Serikali
> >> na
> >> > viongozi wake watatu waandamizi walipoulizwa kwa maandishi na mwandishi
> >> > mjini Dodoma:
>
> >> > Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe alijibu: "Mchakato wa
> >> > Katiba
> >> > upo 'on track' (unakwenda vizuri) hatuna sababu ya kufanya hivyo."
>
> >> > Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alijibu" "Njooni
> >> > ofisini kwangu nitasema ni kitu gani."
>
> >> > Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William
> >> > Lukuvi alijibu kwa utani bila ya kufafanua: "Njooni niwajuze, unajua
> >> kamba
> >> > haitoki Ukambani kama ilivyo kamba."
>
> >> > Profesa Lipumba amemwomba Rais Kikwete asilikubali wazo hilo:
> >> > "Nitapenda
> >> > kuona Rais Kikwete akikataa jambo hilo kwani litachafua taswira ya
> >> > nchi.
> >> > Hatua hii ni kinyume cha utawala bora." na kusisitiza kuwa Serikali
> >> > haipaswi kuhofia uchaguzi kwa sababu ya Katiba kwani bado uwezekano wa
> >> > kuandaa uchaguzi wa haki na huru unawezekana kwa utaratibu mwingine:
> >> > aMchakato wa Katiba unaendelea, Tume ya Mabadiliko ya Katiba inatuambia
> >> > kwamba mwaka 2014 tutakuwa na Katiba Mpya, sasa CUF tunasema kwamba
> >> > hata
> >> > kama Katiba Mpya haitapatikana kwa kipindi hicho kuwe na Tume huru ya
> >> > Uchaguzi."
>
> >> > Source:http://www.wavuti.com/#ixzz2TLnsLKNQ
>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
> >> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to
> >> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
> >> .
>
> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> >> --
> >> Wasalaam,
>
> >> Denis Matanda,
> >> Mine Planning Supt,
> >> Tanzania.
>
> >> *" Low aim, not failure, is a crime"*
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> > --
> > Wasalaam,
>
> > Denis Matanda,
> > Mine Planning Supt,
> > Tanzania.
>
> > *" Low aim, not failure, is a crime"*
>
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment