Tuesday 7 May 2013

[wanabidii] re-congamano la viongoz wa dini,litasaidia au ni unafiki mtupu

recently,kati ya kesho na keshokutwa kutakuwa na congamano litalowakutanisha viongoz wa dini kwa ajili ya kutafuta suluhu ya amani ya tanzania..kwa mtazamo wangu,nafikiri watanzania tunajua fika kuwa amani ya tanzania inapotea kutokana na serikali kuruhusu ustawi wa baadhi ya waislamu wanaoijiita wenye misimano mikali wenye chuki kali na ubaguz wa dhahili juu ya wakristo..serikali ya nyerere na ya mkapa iliwadhibiti watu hao mapema hata kama walilalamika.hiyo ndio ilikuwa suluhu pekee ya amani..on the contrary,serikali ya jk imewaacha watu hao wamestawi kiasi kuwa hata taifa lenyewe lishagawanyika..suluhu la kweli juu ya amani ya tz ni kudhibiti wimbi la waislam aina fulani na kamwe kutowaruhusu wafurukute kwa jinsi yeyote ile.kuwakutanisha maaskofu na masheik meza moja,ni kuwashosha wakristo..kama serikakali hii haijui cha kufanya kufanya,basi hilo ndio jibu.biblia inahubiri amani na upendo kwa kila binadamu aliye hai,quran haisemi hivyo?hivyo
basi,amani na umoja wa kweli haviwezi kupatikana wala kuasisiwa na mwislamu..ngupula

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment