Friday 24 May 2013

[wanabidii] Profesa Chachage Anasema...

 " Haitoshi kabisa kulifahamu jambo. Kuambiwa ni habari tu, unaambiwa na unafahamu, unajua kwamba tukio Fulani limetokea. Gumu zaidi ni kuelewa mantiki ya hilo jambo, na hata baada ya kufikiria na kulifahamu, ugumu mwingine huja pale ambapo inabidi ulieleze lieleweke na maelezo yakajitosheleza yenyewe na kumfanya kila asikilizaye  kuridhika kwamba jambo linaeleweka. Haitoshi wewe kulielewa, bali na wewe kulielezea na mtu mwingine akaelewa. Hapa umuhimu wa kufikiria unachukua nafasi  ya pekee. Hii ndio maana ya mawasilino." – Profesa Chachage Seithy Chachage ( Makuadi Wa Soko Hurua, ukurasa 117)

 Naam, ndugu yetu  Chachage  anatutaka pia tufikiri kwa bidii. Na kimsingi anachosema Chachage inahusu pia dhana nzima ya maarifa. Maana, ukiweza kuelewa ulichojifunza na ukaweza kumwelezea mtu mwingine akakuelewa, basi, kwako hayo uliyoyaelezea yakaeleweka ni maarifa uliyoyapata.

 Maggid Mjengwa

Iringa,

0754 678 252

http://mjengwablog.co.tz

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment