Saturday 25 May 2013

[wanabidii] Olle Anasema: Simulizi Ya Kusadikika Ya Dortmund Kuisha Leo...!

Na Olle Bergdahl Mjengwa,

 

Ukitaka kusimulia mafanikio ya Dortmund katika Ligi ya Mabingwa kutoka mwanzo wa msimu ni kama vile unaandika Simulizi ya kusadikika. Ni kwa sababu, Dortmund wamefanya vitu ambavyo wengi wetu tulifikiri haiwezekani. Mwanzo wa msimu huu ni watu wachache sana walijua kwamba Lewandowski, Reus, Götze, na Blacykowski  ni akina nani katika soka. Leo akina Reus watakapoingia pale  Wembley dunia nzima ya soka inawajua.

 

Dortmund waliishangaza dunia ya soka katika hutua ya kwanza pale walipowafunga Real Madrid na Man City. Na simulizi hii ya  kusadikika ya Dortmund ilianzia hapo. Mnaofuatilia makala zangu kwenye Mwanaspoti mtajua kwamba mwaka huu nimeandika makala nyingi kuhusu Dortmund. Lakini, nilipoona... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/michezo/item/2920-olle-anasema-simulizi-ya-kusadikika-ya-dortmund-kuisha-leo.html#.UaD42Zzwnqo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment