Sunday 5 May 2013

[wanabidii] MABADILIKO........Mlipuko mkubwa

UKWELI NI KWAMBA IMANI KIMUNGU NI NZITO SANA KULIKO IMANI ZINAZO HUSU KUMILIKIWA KISERIKALI. ILI KUWE IMANI KUBWA KISERIKALI WANANCHI WANAPASWA KUELEWA WANAKWENDA WAPI BAADA YA KUWA CHINI YA UTAWALA FULANI KWA MUDA MREFU BILA KUONA MATUNDA. HII INASABABISHA WATU KUWA FRUSRATED NA KUPOTEZA IMANI KWA NCHI YAO, HIVYO KUBAKI KTK IMANO ZAO KIDINI. UTAFUTAJI WA TOFAUTI KATIKA JAMII NI RAHISI KUTUMIA DINI HATA KANAKWAMBA MTU HUYO SIO MUANI THABITI. KWA MFANO-WAKATI TUPO WATOTO NYAMA ZILIZOUZWA KWENYE MADUKA YA NYAMA WACHINJAJI WALIKUWA WAISLAMU. HAINA MAANA KUWA WAKRISTO HAWANGEWEZA BALI NI HALI YA KUELEWANA. SHULE ZILIZOKUWA ZA KANISA HAZIKUWAZUIA WATOTO WA WAISLAMU KUSOMA HUKO,BALI NI WAISLAM WENYEWE HAWAKUTAKA WATOTO WAO KUSOMA KTK SHULE HIZO. MIFUGO, IWE NI MBUZI AU NGURUWE HAIKUWA INAACHIWA TU BILA UCHUNGAJI. BAADA YA UHURU VIONGOZI KTK NGAZI ZA JUU WALIKUWA WAKRISTO KWANI NDIO WALIKUWA NA UWEZO MKUBWA KIELIMU. , MAZURI NA MABAYALAWAMA. LEO HII WATU WANATAFUTA TOFAUTI NDOGO NDOGO ZINGINE HAZINA MAANA. WATU WANATUMIA DINI KAMA MIAMVULI. HALI HIYO ITATUPELEKA SOTE MOTONI HATA KABLA MWISHO WA DUNIA HAUJAFIKA.
TUSISAHAU KWAMBA NCHI NYINGI DUNIANI, NA HATA MAJIRANI ZETU WANATUONEA WIVU KWA AMANI TULIYONAYO KWA MUDA WOTE HUU. BADALA YA KUTUMIA HALI HILO VIZURI KUENDELEZA NCHI TUNATA KUHARIBU USALAMA KUTUMIA DINI. WAKRISTO NA WAISLAM LAZIMA MJUE DINI HAZIKUANZISHWA ILI ZIWATESE WATU. OFCOURSE, TO EVERY ACTION THERE IS EQUAL AND OPPOSITE REACTION, LEO MUISLAM KALIPUA BOMU, KESHO MKRISTU, KAMA ILIVYOFANYKA ZANZIBAR-KWANZA PADRI, BAADAE SHEIKH KAPIGWA MAPANGA. SIJUI KAMA HALI HIYO HAIWASUMBUI AKILI WATAWALA WETU AMBAO WANA EXPERIENCE KUBWA KWANI NCHI IKO MIKONONI MWAO KUANZIA NCHI ILIPOPATA HURU. NI MATEGEMEO YETU THIS TIME KUONA WATU HAO WATAFUTWE NA WAPATE ADHABU KALI BILA KUJALI NI WAUMINI AU SIO.

Mtanganyika

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment