Saturday 18 May 2013

[wanabidii] Leo Nimeng'atuka Rasmi Uwenyekiti...

Ndugu zangu,

Nikiwa kama Makamu Mwenyekiti wa Bodi Ya Utendaji ya Iringa International School, na kwa kupitia hotuba yangu ya kufunga rasmi shughuli ya Siku ya Wazazi Iringa international School, leo nimetangaza rasmi kuwa sitaendelea kuwa Mjumbe wa Bodi ya Utendaji wa Iringa International. Kwa maana hiyo, sitaendelea kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo.

Wakati umefika wa mimi kung'atuka na kuwapisha wengine, na kuzipisha fikra nyingine pia. Nimewahamasisha wazazi wengine wachukue fomu na kuzijaza kuziba nafasi zitakazokuwa wazi ikiwamo yangu. Vile vile, kushiriki kwenye uongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya shule ( PTA). Mkutano wa Uchaguzi utafanyika hivi karibuni.
Maggid,
Iringa.
http://mjengwablog.co.tz

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment