Wednesday 15 May 2013

[wanabidii] Kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya 2 kwa email

Napenda kuwaarifu kwamba sasa, Nimekamilisha kutunga, kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya pili, unaweza kukipata kwenye email yako kwa mfumo wa PDF. Kwa wale wanaohitaji wanaweza kunitumia Sh. 5,000 kwa M PESA kwenye simu namba 0755394701 kisha kunitumia email zao na mimi nitawatumia email iliyoambatanishwa na kitabu.
Kitabu hiki ni sehemu ya pili ya kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri ambacho kina na lengo la kukusaidia wewe ili uweze kupata maarifa endelevu, ujuzi, elimu ya biashara na mbinu za kudunduliza fedha ili kufanikisha safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta utajiri. Kama hujasoma kitabu cha kwanza (Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri) nakushauri ukitafute ukinunue na ukisome. Tofauti ya kitabu cha kwanza na cha pili ni kwamba kitabu cha kwanza kinakupa mbinu za uendeshaji wa biashara na maarifa ya kupata pesa kwa hatua za mwanzo lakini cha pili kina mbinu za biashara za hali ya juu pamoja na mwazo ya ziada ambayo yanaweza kukusaidia kupata pesa zaidi na jinsi ya kuwekeza pesa zako ili ziweze kuongezeka zaidi.
Kitabu hiki kinawafaa watu wote wanaotafuta kujiongezea mapato na utajiri kwa njia mbalimbali halali kwa kufanya biashara, kuanzia wafanya biashara ndogo ndogo hata wafanyabiashara wakubwa. Hakiishii kwa wafanyabiashara tu, bali kinamfaa mtu yeyote anayetaka kuwa tajiri kwa kuwa atajifunza mbinu mbalimbali za kujipatia, kunyumbua mapato yake na kuwa tajiri kwa njia halali.
CHARLES NAZI
Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya pili.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment