Monday 20 May 2013

[wanabidii] Jiunge na mpango kabambe wa ushauri wa biashara (Mentorship) uwe mfanya biashara mwenye mafaninikio.

CPM Business Consultants imeandaa mpango kabambe wa ushauri wa biashara (Mentorship) kwa wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa na wale wanaotaka kuanzisha biashara ili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wakubwa na wenye mafanikio. Mtu atakakayejiunga na mpango huu atapewa mbinu za hali ya juu za biashara na uwekezaji ambazo zitamuwezesha kuinuka kiuchumi na kuwa mfanyabiashara mkubwa kwa haraka. Mtu yeyote anaweza kujiunga na mpango huu ambao mkataba wake utakuwa ni wa mwaka mmoja mmoja ambao unaweza kurudiwa tena.Kwa nini uchague CPM Business consultants? Tumeweza kuwainua wajasiriamali wengi kwa ushauri wetu. Kitabu chetu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri, kimewainua wajasiriamali wengi wengine ndani ya muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja. Pia tumefanikiwa kuuza nakala 4,000 za kitabu hicho kwa kipindi kifupi kwa sababu kinapendwa sana. Tumeweza kuandaa mpango wa biashara/michanganuo kwa wale walioomba mikopo Benki. Katika kipindi cha miaka 3 iliyopita tumewawezesha wateja wetu kupata mikopo ya sh. milioni 400 toka benki.

Manufaa ya kujiunga na mpango huu;

Utapewa mbinu za hali ya juu za biashara na uwekezaji ambazo zitakuwezesha kuinuka kiuchumi na kuwa mfanyabiashara mkubwa kwa haraka.

Utapata kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya 1 na ya 2

Utajiunga na mafunzo ya ujasiriamali kwa email maisha yako yote.

Utapata ushauri kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kulipia gharama yoyote na unaweza kumpigia simu mshauri wakati wowote na kupatiwa ushauri.

Utapewa ushauri wa namna ya kukopa na kuandaliwa mchanganuo/mpango wa biashara bila malipo ya ziada.

Utapewa huduma ya kutangaza biashara yako kwenye mtandao wa Internet wenye wateja 50,000 bila gharama ya ziada.

Utapata ushauri wa kisaikolojia na matatizo ya mahusiano na maisha yanayokukabili.

Gharama ya mpango huu ni Sh. 500,000.00 Laki tano tu kwa mwaka. Ili kuomba kujiunga na mpango huu piga simu namba 0755394701

CHARLES NAZI
MSHAURI WA BIASHARA
CPM BUSINESS CONSULTANTS

http://mshauriwabiashara.weebly.com/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment