Wednesday 15 May 2013

[wanabidii] Hofu Ya Ugaidi ( 05)

Kama nilivyoahidi kuendelea na mjadala huu leo Jumatano, basi,  kwa siku ya leo na tuliangazie kwa karibu  shambulio pekee kubwa la kigaidi kupata kufanywa   hapa duniani. Ni shambulizi lilofanywa na kikundi cha  Al-qaida. Na ni shambulizi lao kubwa la kigaidi  tangu kuanzishwa kwa kikundi hicho cha kigaidi.

Naam, tunazungumzia  shambulizi la kigaidi la Septemba 11,2001   dhidi ya Marekani katika ardhi  ya Marekani.  Na baada ya kuliona hilo, tutaangalia pia kihistoria,  vitendo vya kigaidi vilivyofanywa na Wamarekani ndani ya Marekani yenyewe.
     

Itakumbukwa, kuwa siku ya Jumanne ya Septemba 11,  2001, dakika chache.. Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/2725-hofu-ya-ugaidi-05.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment