Sunday 19 May 2013

[wanabidii] Hata Iweje Rais dikteta hakwepeki 2015

Na Nova Kambota,

....................Mwandishi anamtaja Julius Nyerere kuwa ni dikteta ambaye amefanana na
Mkapa kwa upande wa usoni, amerandana na Mwinyi kwa nyuma huku akisema
kuwa amefanana na Kikwete kwa upande wa ubavuni! Haya ni madai ya
kitoto yasiyo na mantiki yoyote, kwa kifupi mwandishi anataka
kumfananisha Nyerere na Mwinyi, Mkapa na Kikwete, mbaya zaidi anataka
kutuaminisha kuwa mpaka leo hii Tanzania bado inaendeshwa kwa mitazamo
ya Nyerere, huu ni upotoshaji mkubwa, hivi nani hajui kuwa mawazo ya
Nyerere yametupwa zamani? Hivi wapi Nyerere alishabikia ubinafsishaji?
Hivi udini ulikuwepo kipindi cha Nyerere? Mimi nadhani mwandishi
hamtendei haki komredi Nyerere kwa kumfananisha na warithi wake ambao
nathubutu kusema wametofautiana kwa mbali kabisa na mwamba huyo licha
ya kwamba walitawala nchi moja na kukaa Ikulu ileile ya Magogoni.............fatilia zaidi uchambuzi huu wa kusisimua ulioandikwa na Nova Kambota bofya; www.novakambota.wordpress.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment