Thursday 16 May 2013

[wanabidii] GHOROFA LA MASANA HOSPITAL LIKIWA NA NYUFA KUBWA KUBWA

Kuna msemo wa kiswahili usemao usipoziba ufa utajenga ukuta. Msemo huu hauna maana tena siku hizi kwa kuwa maghorofa yanayoendelea kuporomoka kila kukicha sehemu mbalimbali has aAfrika zinatishia si tu usalama wa majengo na kujenga ukuta bali pia uhai wa watu wanaotumia majengo hayo.

Katika Hospitali ya Masana iliyopo Mbezi Beach Jijini dar es Salaam, nyufa hizi zinaonekana kwa ukubwa wa kutosha.

Zaidi tazama Picha na habari hapa:

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment