Monday 20 May 2013

[wanabidii] Fwd: FW: MDAHALO - SAMBAZA UJUMBE



---------- Forwarded message ----------
From: pasience mlowe <mlowe@humanrights.or.tz>
Date: 2013/5/21
Subject: FW: MDAHALO - SAMBAZA UJUMBE
To: pasience@gmail.com


 

 

From: Anna Henga [mailto:ahenga@humanrights.or.tz]
Sent: Tuesday, May 21, 2013 9:00 AM
To: all@humanrights.or.tz
Subject: MDAHALO - SAMBAZA UJUMBE
Importance: High

 

Mdahalo wa Katiba Tarehe 26 Mei 2013

 

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Kamati Maalum ya Katiba pamoja na ITV na Radio One wanawaalika watanzania wote kwenye Mdahalo wa Katiba utakalofanyika ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza (Blue Pearl) Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 26/5/2013.

Mdahalo huo utaanza saa 8 kamili mchana na kufungwa saa 11 jioni. Mada kuu ya mdahalo huo ni Changamoto za Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011.  Mdahalo huo utaonyeshwa moja kwa moja na ITV.

Walengwa wa mdahalo huu ni watanzania wote !

Watanzania wote mnakaribishwa kufuatilia mdahalo huo kwa njia ya televisheni ya ITV.

 

 

Anna Henga
Coordinator, Southern African Legal Assistance Network (SALAN)
Hosted by Legal and Human Rights Centre
P.O.Box 75254
Dar es Salaam
Tanzania.
Tel:+255 22 2773038/48

Mobile: +255 712 471006 /0787471006
Fax:+255 22 2773037
www.humanrights.or.tz

 

 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment