Wednesday 15 May 2013

[wanabidii] Fw: KESHA JIPYA, MAMA NA NDALA, MBELEKO MGONGONI.



--- On Wed, 5/15/13, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Subject: KESHA JIPYA, MAMA NA NDALA, MBELEKO MGONGONI.
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 15, 2013, 3:06 AM

 
Hii ni mawiyo mapya, yaite alfajiri hangavu.
Mwana mbelekoni, kandambili rangi mbili kwenye unyayo, chapuo jipya, si la kuchagua maumivu tena, wala kumkumbata mwanampya mteseka, bali ni la kutoka jasho la haki.Haki ya sauti yake, imenyonywa na kunyogwa na wana wa misuri  jamii. Mikono laini, ziwa tete, sauti ya mwambani vyatumika kudai haki si kumbembeleza mwana tena. Mijijanadume, hiite nyang'au imemfumba macho sauti, mwana asi mawahaa. Watwana waketi mkekani na wanyonyi, waungwana wadaka chozi mama, tunasikia mshindo wa sikitiko lake, tukisubiri kunyona twadondokewa na chozi, chozi lile si la huruma na hudhuni ya kimama. Chozi la josha la haki. Wa wapi watenda haki wasmezane na mabedui? Uwapi ule upatu wa hekima ukawabeba kindakindaki wana wa hekima, wakaitikisa miili yao na hekima zao ili WAPUMAVU WATEGEMEAO KUJULIKANA NA WAPIGIWA KURA WASIKIEEEE!

WAKATABAU , CHEPE LA MWISHO. SIFI, SIFI MARA MBILI.

 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment