Monday 13 May 2013

[wanabidii] dini ni bangi, kuchinja ni ajira

wanapigania ajira hao.

hakuna dinini yoyote inayowataka watu wapiganie kuchinja hata kule ulaya na uarabuni zilipotokea sasa wanatushangaa. lakini kikubwa ni kwamba wanata ajira ya kuchinja ajira ni tatizo hapa nchini, wanajua mchinjaji huwa analipwa nini?

kidin i wasilam wanatakiwa kuchinja kwa mwaka mara moja wana sikukuu yao ya kuchinja , hata wakristo ni pasaka tu siku zingine hizi biashara ya nguruwe tu isiyohitaji maafa wala kelele mradi nguruwe anachinjwa hakuana anayebishana kwamba nitachinja mimi au mnataka tupeleke nguruwe kwenye misiba ili tuwatimue wasabato na waislam? hapo je

0 comments:

Post a Comment