Tuesday 7 May 2013

Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Ha ha ha ha ha ha...kusoma ukweli hii ndo lie inayotwa kasumba ya kikoloni kuwa bila kizungu ujastaarabika. Hii iko kwa wengi wetu Kwanzaa viongozi wa negative za juu kabisa. Mfano ni ule wa rais wetu kumkaribisha rais wa China na yeye kuhutubia kiingereza wakati mwenzake alihutubia kwa Kichina je hicho kiingereza alike wa anasemewa nani?

Kuna story ya mkulima mmoja alipata ufadhili kuhudhuria mkutano wa kimataifa ulioleta washiriki toka sehemu mbali mbali. Sasa katika mkutano huo alikuwepo Professor mmoja asiyejua kiingereza maana yeye kakulia katika mazingira ya kifaransa hivyo ilibidi nayeye pia tasfririwe kama Yule mkulima. Kuona hivyo mkulima ambaye alijiona mpweke sana kwa kuwa alijiona kuwa ndiyo pekee asiyepandisha lugha akafarijika kuwa siye yeye pekee asiyekuwa msomi kwa kutojua kiingereza, kumbe hata Prof mzima naye hajui?

Sent from my iPad

On 7 Mei 2013, at 14:48, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:

Ninachoshuhudia hapa ni UTUMWA WA LUGHA, wenzetu hawatukuzi lugha ya mtu, kila taifa lina lugha yake sisi kiswahili tunakiona lugha ya kishamba eti msomi lazima aongee kingereza, niwaulize swali moja wa mataifa mawili, wataliano na wachina hawana maprofesa kwa vile hawajui kingereza? acheni utumwa wa lugha tukuzeni KISWAHILI ndo lugha yenu.

2013/5/7 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Malosha

Wewe mwenyewe hujui Kiswahili. Sijawahi sikia neno/jina linaitwa kingeleza. Tusikurupuke kuona kwamba asiyeongea Kiingereza basi hajasoma. Watoto wa siku hizi akiwa darasa la 3 tu anaweza akaongea lakini huwezi kusema eti huyo mtoto ni msomi. Tubadilike

On 7 May 2013 12:49, malosha zephania edward <emalosha84@yahoo.co.uk> wrote:
Kama kweli ndiyo hivyo basi kuna tatizo kubwa ambalo halijagundulika.
Degree mbili kingeleza ndiyo hicho.
Huyu ni mchungaji au mwanafunzi ambaye ameenda antonio kwa PhD?

--- On Sat, 4/5/13, Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> wrote:

From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 4 May, 2013, 13:21

Unashangaa nini? Ona huyu hapa kapenya hadi Ng'ambo. Na Tag yake si waiona?  Kaambiwa ajitambulishe. Ni msomi. Afadhali angezungumza kiswahili yaishe kuliko kuwashangaza watu. Wanashindwa kumwelewa, wanashindwa kumcheka wanabaki wanaduwaa!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment