Sunday 5 May 2013

Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Fred,

Unajua jambo linalofanya watu wamshangae mto hoja ni kwamba kila mtu anajua katika nchi yetu kiingereza cha kuongea ni tatizo. Chukulia hata waalimu wao (Professors) wasikie kwenye mijadala lugha ni tatizo lakini wape kua dika utaona wanachomaanisha.

Kwa hiyo ni kama anataka kuwapotezea watu muda. Lugha yakuzungumza hata wale tour guide ambao hawajaenda shule wanaweza tena bila wasiwasi lakini kuandika ni tatizo kwao. Huenda angeleta hoja kwamba kutojua kiingereza kumerudisha maendeleo ya nchi yetu nyuma, hzpo tungejadili kwa mtizamo mwingine.

Tunajaribu kuondoa ile hali ya kujidhalilisha kila wakati na kutukuza mambo ya nje wakati hata hzyo hatuyawezi sawasawa kaka.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
Sent: Sun, May 5, 2013 8:40:52 AM

Katika hili mnamwonea Amon, hapa kwetu elimu ya juu hufundishwa kwa kingereza, je anawezaje kuwa na digrii mbili pasi kujua kingereza? Nadhani hili ndilo lililomshangaza Amon. Kama mtu huyo amesoma china ama urusi yawezekana kabisa asijue kingereza lakini kama kasoma hapa kwetu itakuwa miujiza

--- On Sat, 5/4/13, thebennynho <thebennynho@gmail.com> wrote:

From: thebennynho <thebennynho@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, May 4, 2013, 7:42 AM

Mbona wachina hawajui kingereza na mambo yao yako juu tu...acheni upompompo
ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:

Huu ni utumwa mbaya sana (wa kudhani kwamba kujua kiingereza ndio mambo yote) ambao ni mtu mwenyewe ndiye anayeweza kuamua kuondokana nao na wala siyo watu wengine.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
Sent: Sat, May 4, 2013 11:32:49 AM

amon kwani wewe ulitaka mtu anayejua kingereza au mwenye digrii mbili?

On 5/4/13, amon mkoga <dramontz2002@yahoo.com> wrote:
> Salaam
> Jana sikuamini macho yangu nimekutana na kijana mwenye degree mbili lakini
> kingereza hajui kabisa,ktk EAC tutauweza ushindani kweli?
>
> AMON MKOGA
> P.O BOX 78566
> MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
> EMAIL dramontz2002@yahoo.com
> DAR ES SALAAM
> TANZANIA
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment