Monday 6 May 2013

Re: [wanabidii] Which University in Tanzania produces the best students?

Very poor question!

2013/5/6 Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com>
Jamani, hii mada bado ni pana mno. Inabidi muhusika aribu kuwa
'focused' zaidi. Ni kiwango gani cha ubora anachokilenga? Je, ni
wanafunzi wazuri kwenye ufaulu, utafiti, au ambao baada ya kuhitimu
masomo yao, wanafanya vizuri kazini?

Tena sio hivi tu, inawezekana, kwa mtizamo wa mwandishi, uzuri wa
wahitimu, ni sawa na wingi wao kwenye ajira? Au kwa maneno mengine,
unaweza kusema ni wahitimu wa chuo gani wanaongoza kwa kuajiriwa, au
kwa kufanya vizuri kwenye ajira, na au kwa kuwauliza waajiri,
wanapendelea zaidi wahitimu kutoka kwenye vyuo gani? Natumaini
naeleweka.

Ili mada hii mada iwe na mashiko zaidi, naomba muasisi wake, aiweke
vizuri na ailengeshe kule anakotarajia ilenge; lakini ilivyo, ni pana
mno.

Fratern.

On 5/6/13, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
> Kwa kigezo hicho cha kuzuia migomo ni kipimo hafifu,kuna migomo inayojenga
>
>
>
>
> On Mon, May 6, 2013 at 6:33 AM, Justin Bamanyisa
> <jbamanyisa@yahoo.com>wrote:
>
>> Acha uvivu wa kufikiri! Swali lina mapungufu mengi!!!
>> Nani kakuambia Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatoa wanafunzi bora katika
>> fani
>> ya Ushirika, Udaktari, Unesi,Teolojia au Ugavi?!!
>>
>>
>>
>> *Justinian Mushumbusi Bamanyisa*
>> *Moshi University College of Cooperative and *
>> *Businesss Studies (MUCCoBS)*
>> *Sokoine Road, P.O.Box 474, Moshi, Tanzania*
>> *Mob. +255 754 514 316/ 715 514 316*
>>
>>
>> --- On *Mon, 5/6/13, Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>* wrote:
>>
>>
>> From: Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] Which University in Tanzania produces the best
>> students?
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Monday, May 6, 2013, 5:40 AM
>>
>> Nadhani UDSM ndicho chuo kinachotoa wanafunzi bora hawa kwa kuangalia
>> kinavyofanya kazi na kujiweka katika nafasi nzuri Africa. Hii si kwa
>> sababu tu nimesoma pale, bali ukiangalia miaka ya hivi karibuni
>> wamejaribu kuzuia migomo ambayo hukwamisha ufanisi wa wanafunzi hasa
>> pale wanafunzi wanapofukuzwa chuo.
>>
>> Ndio wengine wataongelea vyuo vingine, hiyo ni mtazamo wangu mimi na
>> si tu kwa kuwa nimesoma pale bali ni kwa sababu ya Products zake
>> kutambulika na kuwa chachu kwa dunia nzima!
>>
>> --
>> Ipyana Lwinga
>>
>> Email:
>> ipyanalwinga@gmail.com<http://us.mc1223.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ipyanalwinga@gmail.com>
>> Mob:     +255 757 065577
>> Skype:   ipyana.plwinga
>>
>> "Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
>>
>> --
>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1223.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1223.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1223.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> .
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>  --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
*-----------------------
Fratern Kilasara,*
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
*Dar es Salaam - Tanzania.
*Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22
2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment