Monday 6 May 2013

Re: [wanabidii] Which University in Tanzania produces the best students?

hahaha, jamani msilete siasa. Chuo kupimwa kwa kutokuwa na migomo! hii kali kuliko zote. inabidi tuwe objective kwenye hili.

From: Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, May 6, 2013 2:40 PM
Subject: Re: [wanabidii] Which University in Tanzania produces the best students?

Nadhani UDSM ndicho chuo kinachotoa wanafunzi bora hawa kwa kuangalia
kinavyofanya kazi na kujiweka katika nafasi nzuri Africa. Hii si kwa
sababu tu nimesoma pale, bali ukiangalia miaka ya hivi karibuni
wamejaribu kuzuia migomo ambayo hukwamisha ufanisi wa wanafunzi hasa
pale wanafunzi wanapofukuzwa chuo.

Ndio wengine wataongelea vyuo vingine, hiyo ni mtazamo wangu mimi na
si tu kwa kuwa nimesoma pale bali ni kwa sababu ya Products zake
kutambulika na kuwa chachu kwa dunia nzima!

--
Ipyana Lwinga

Email:    ipyanalwinga@gmail.com
Mob:    +255 757 065577
Skype:  ipyana.plwinga

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



0 comments:

Post a Comment