Sunday 19 May 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Kumbe udini una mkono wa nje!

Rais wa Propaganda  hata nyingine hazina  msingi.

2013/5/20 Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
Mbona hawataji? Je yeye ni mtu wa nje? Kama anajua ni wa nje
wanashirikiana na ndani kachukua hatua gani? Fbi wanasemaje?

On 5/19/13, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
> Rais Kikwete: Udini unaoibuka una mkono wa nje
>
> Dodoma. Rais Jakaya Kikwete amebainisha kuwa vurugu za kidini na kisiasa
> zinazotokea nchini, zina uhusiano na watu wa nchi za nje.
>
> Alitoa kauli hiyo jana kwenye ibada maalumu ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Mkuu
> wa Sitta wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya.
>
> Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye
> Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu.
>
> "Wanaohamasisha vurugu hizo ni watu wenye uhusiano ya karibu na watu wa nje
> ambao mambo yakiharibika nchini watakuwa wa kwanza kupanda ndege, ilhali
> wakiendelea kutoa matamko ya uchochezi wakiwa nje ya nchi wakati wengine
> wakiendelea kuumia," alisema Kikwete.
>
> Endelea:
> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Udini-unaoibuka-una-mkono-wa-nje/-/1597296/1856798/-/10s0m89/-/index.html
>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
>  http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment