Thursday 16 May 2013

Re: [wanabidii] Re: LIPUMBA : KUNA NJAMA ZA KUMUONGEZEA JK MUDA

Mungu apishilie mbali.............................

2013/5/15 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Eng,
Umeiona hiyo ndugu yangu!!!!!
 
K.E.M.S.
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 15 May 2013, 5:38
Subject: Re: [wanabidii] Re: LIPUMBA : KUNA NJAMA ZA KUMUONGEZEA JK MUDA

Duh..................

2013/5/15 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndio maana mhe zitto kabwe alitangaza mapema kugombea urais kwenye
uchaguzi ujao , wengi waliuliza itakuwaje mbona atakuwa hajafikisha
miaka 40 ? jibu limepatikana .

On May 15, 12:09 pm, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
> Wakati akifungua kikao cha Baraza Kuu la CUF, Mwenyekiti wa chama hicho,
> Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa
> mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani.
>
> Anaripotiwa kusema nyongeza ya miaka 2 baadaya mwaka 2017, inatokana na
> wasiwasi kuwa mchakato wa Katiba Mpya hautaweza kukamilika mwaka 2014 hivyo
> kutokuwa rahisi kwa uchaguzi kufanyika mwaka 2015.
>
> Gazeti la Mwananchi linasema madai hayo ya yamepingwa vikali na Serikali na
> viongozi wake watatu waandamizi walipoulizwa kwa maandishi na mwandishi
> mjini Dodoma:
>
> Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe alijibu: "Mchakato wa Katiba
> upo 'on track' (unakwenda vizuri) hatuna sababu ya kufanya hivyo."
>
> Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alijibu" "Njooni
> ofisini kwangu nitasema ni kitu gani."
>
> Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William
> Lukuvi alijibu kwa utani bila ya kufafanua: "Njooni niwajuze, unajua kamba
> haitoki Ukambani kama ilivyo kamba."
>
> Profesa Lipumba amemwomba Rais Kikwete asilikubali wazo hilo: "Nitapenda
> kuona Rais Kikwete akikataa jambo hilo kwani litachafua taswira ya nchi.
> Hatua hii ni kinyume cha utawala bora." na kusisitiza kuwa Serikali
> haipaswi kuhofia uchaguzi kwa sababu ya Katiba kwani bado uwezekano wa
> kuandaa uchaguzi wa haki na huru unawezekana kwa utaratibu mwingine:
> aMchakato wa Katiba unaendelea, Tume ya Mabadiliko ya Katiba inatuambia
> kwamba mwaka 2014 tutakuwa na Katiba Mpya, sasa CUF tunasema kwamba hata
> kama Katiba Mpya haitapatikana kwa kipindi hicho kuwe na Tume huru ya
> Uchaguzi."
>
> Source:http://www.wavuti.com/#ixzz2TLnsLKNQ

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.

--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment