Thursday 16 May 2013

Re: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI

Taifa letu lina matatizo makubwa kuliko maelezo hapa naona wadini watupu yaani ni harufu za udini kila kona. Acheni kuwa na akili finyu tuweke uzalendo mbele tuache ushabiki wa kidini kama vile simba na yanga. Dini zenu kaeni nazo ziwapeleke munakoamini lakini zisitumike kujenga hoja hafifu. Taifa letu linaelekea kuzimu kwa sababu ya dini za kigeni ambazo tunajifanya kuzijua kuliko hata zilikoanzia. Ni lini mumesikia uarabuni au kwa wazungu wanatafuta mgombea kwa sababu ya dini yake?

Binafsi namuunga mkono Gikaro Ryoba hapa kwetu wapo waroho wa madaraka wanaotamani kubaki madarakani milele na wanajaribu kutughiribu kwa kutumia vyama vyao vya siasa ambavyo sasa hivi ni dini zao na uelewa mdogo wetu. Umeibuka ulimbukeni fulani wa kusimama upande wa dini ili kumuunga au kumkataa mtu asichaguliwe kwenye nafasi za uongozi. Ninaomba kuwaambia wote wenye akili finyu kwamba Tanzania haitaongozwa kwa misingi ya udini wanapoteza muda wao na kuganga njaa. Acheni kupotoshwa na misimamo ya udini ili tuweze kuwapima watu wote wenye nia ya kutuongoza.

Madai yetu kwa serikali ni uongozi bora na uwajibikaji, tatizo la udini limeingizwa na wajanja wanaotumia ufinyu wetu wa kufikiri kutupotosha. Wameshindwa kutatua kero zetu badala yake wanazifanya hoja za Slaa kuwa kama ndo uwajibikaji na utatuzi wa kero zetu.

Sijawahi kuona hata siku moja Ikulu ikikubali kuhusika na jambo lolote inapotuhumiwa. Wote munaoitetea ni ushabiki wa kidini na kisiasa au pangu pakavu tia mchuzi, wala hamna hoja yoyote yenye nguvu. Ebu tupeni historia ya matukio ambayo ikulu imesingiziwa na baadaye tukagundua ilisingiziwa. Mwizi au mkosaji siku zote hukataa kutenda kosa ni chombo kingine kama vile mahakama au wazee wenye busara kufanya uchunguzi na kubaini kama mtu katenda kosa au la. Hapa mtuhumiwa ni Ikulu na huyo huyo  ndiye anayetoa kauli ya kukana kosa sasa tuelewe mkweli ni nani?  Wachangiaji wengine hapa wanajifanya ndiyo ikulu yenyewe japo wana lao nyuma ya pazia



2013/5/16 Rashid Maalim <rashid.o.maalim@gmail.com>
Kwani  Udini ni  kitu  gani labda ,maana kama  2010  hata  Kanisa
katoliki lilitoa muongozo  juu ya  waumini  wao  katika  kuchagua
Raisi  ,na ukweli  Chaguo lao  lilikuwa ni  Slaa sasa  mbona  Babu
slaa asemi haya
On 5/15/13, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
> msifanye generalization,hoja hapa ni UDINI,na imeelezwa ulianza lini
> na nani alianzisha
>
> On 5/15/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
>> Kaka angalia mapenzi nayo yanapofua.
>>
>>
>>
>>
>>
>> Walewale.
>>
>>
>>
>> ________________________________
>>  From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Wednesday, May 15, 2013 1:57 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
>>
>>
>> Yona
>> Unataka upinzani uje na suluhisho bila kutaja chanzo cha tatizo?penye
>> ukweli lazima usemwe,ili tuwe huru
>> Kwa tamko kama hili ikulu imejidhalilisha tena
>>
>> On 5/15/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>> Nilizani Dr Slaa kama mkuu wa upinzani nchini angekuwa na mawazo
>>> mbadala ya nini sasa kifanyike kuliko nae kuanza kulalamika na
>>> kunyooshea wengine vidole .
>>>
>>> Upinzani ubadilike kwa kuwa na masuluhisho ya matatizo mbalimbali
>>> nchini .
>>>
>>> On May 15, 12:37 pm, amour chamani <abacham...@yahoo.com> wrote:
>>>> Muhingo,
>>>> Unaamini hivyo na vipi wengine tunaamini hivyo?
>>>>
>>>> Walewale.
>>>>
>>>> ________________________________
>>>>  From: ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Sent: Wednesday, May 15, 2013 12:11 PM
>>>> Subject: Re: [wanabidii] IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
>>>>
>>>> Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni: Kuaminika sana alikonako Dr. Slaa kwa
>>>> wananchi na
>>>> Kutoaminika sana kuliko miongoni mwa wananchi juu ya Ikulu yao kunaweza
>>>> kuwafanya wananchi wakachukulia matamshi ya Slaa kuwa ndio ukweli na
>>>> maelezo ya Ikulu yakakosa 'mashiko'. Kwa watu wanaotumia ubongo sana
>>>> Taarifa kadhaa za Ikulu zinazojaribu kutetea mambo zimekuwa zikikosa
>>>> kukubalika. Mfano wa wazi ni kukana vyombo vya dola kuhusika
>>>> na uteswaji
>>>> wa Dr Ulimboka. Madelezo yake yalionyeha kuhusika kwake.
>>>> Ipo kazi na inapaswa kufanyika
>>>> Elisa
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> >________________________________
>>>> > From: Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com>
>>>> >To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>>> >Sent: Tuesday, May 14, 2013 2:39 PM
>>>> >Subject: [wanabidii] IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
>>>>
>>>> >TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
>>>>
>>>> >KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa
>>>> > Wilbroad Slaa, leo, Jumatatu, Mei 13, 2013, amekaririwa na gazeti
>>>> > moja
>>>> > akidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
>>>> > Jakaya
>>>> > Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni, "ilikuwa ikisaka kura kwenye
>>>> > nyumba za ibada na kumwaga sumu mbaya ya udini ambayo sasa inaitesa
>>>> > Serikali na taifa" kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.
>>>>
>>>> >Aidha, katika habari hiyo iliyoandikwa chini ya kichwa cha
>>>> > habari, "Dk.
>>>> > Slaa amlipua JK"kwenye gazeti linalounga mkono CHADEMA la Tanzania
>>>> > Daima, Mheshimiwa Slaa anadai kuwa migogoro ya sasa ya
>>>> > kidini "inajengwa
>>>> > au kutengenezwa na Serikali iliyojikita kusambaza sumu ya udini
>>>> > katika
>>>> > misikiti wakati wa kampeni za Urais mwaka 2010".
>>>>
>>>> >Kwa hakika, hakuna namna nyingine ama namna bora zaidi ya kuielezea
>>>> > kauli
>>>> > hii ya Mheshimiwa Slaa isipokuwa kwamba kauli hiyo ni riwaya nyingine
>>>> > isiyokuwa na mshiko. Ni uongo mtupu. Yake Mheshimiwa Slaa ni maneno
>>>> > yasiyokuwa na ukweli wowote. Ni uzushi na santuri ambayo imezoeleka
>>>> > sasa
>>>> > kwa wananchi.
>>>>
>>>> >Kauli ya Mheshimiwa Slaa ni mwendelezo wa mtiririko usiokuwa na mwisho
>>>> > wa
>>>> > ghiriba ambazo kamwe hazitafanikiwa za Mheshimiwa Slaa kuwahadaa
>>>> > wananchi kuhusu ukweli wa mambo ulivyo katika nchi yetu.
>>>> >Rais Jakaya Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni kamwe hawakufanya
>>>> > kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, ama wa mwaka mwingine wowote,
>>>> > katika
>>>> > nyumba yoyote ya ibada iwe msikitini ama kanisani ama hekaluni ama
>>>> > nyumba nyingine yoyote ya ibada mahali popote katika nchi yetu.
>>>>
>>>> >Mheshimiwa Rais Kikwete hajawahi hata kufikiria kuchanganya dini na
>>>> > siasa. Hana sababu ya kufanya hivyo. Anaelewa fika madhara ya udini
>>>> > kwa
>>>> > mustakabali wa nchi yetu, kwa umoja wa taifa letu na kwa mshikamno wa
>>>> > wananchi wake. Yoyote anayejaribu kumbebesha Rais Kikwete msalaba wa
>>>> > udini ana lake jambo na ni vyema atuambie fika Rais alitumia Msikiti
>>>> > upi, ama Kanisa lipi, mahali gani na kwa nyakati gani kufanya
>>>> > kampeni.
>>>> >Vinginevyo, kauli ya Mheshimiwa Slaa itabakia ni kauli tu inayostahili
>>>> > kupuuzwa na wananchi, itabakia ni kauli ya mtu mzima anayetapatapa na
>>>> > kufanya jitihada kubwa kujivunjia mwenye heshima kwa kutunga na
>>>> > kusambaza uongo.
>>>>
>>>> >Tunanapenda kumshauri Mheshimiwa Slaa kuwa kama hana jambo la maana la
>>>> > kuwaambia wananchi ama ameishiwa na hoja ni vyema anyamaze, awaachie
>>>> > wananchi waendelee na shughuli zao za maendeleo, kuliko kuendeleza
>>>> > riwaya zake zisizokuwa na mshiko. Yake ni santuri iliyowachosha
>>>> > wananchi.
>>>>
>>>> >Imetolewa na:
>>>> >Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
>>>> >Ikulu.
>>>> >Dar es Salaam.
>>>> >13 Mei, 2013
>>>>
>>>> >--
>>>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>> >
>>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> > ukishatuma
>>>> >
>>>> >Disclaimer:
>>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>> > signifies
>>>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
>>>> > and
>>>> > Guidelines.
>>>> >---
>>>> >You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> > Groups
>>>> > "Wanabidii" group.
>>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> > an
>>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> >For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>> >
>>>> >
>>>>
>>>> >--
>>>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>> >
>>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> > ukishatuma
>>>> >
>>>> >Disclaimer:
>>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>> > signifies
>>>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
>>>> > and
>>>> > Guidelines.
>>>> >---
>>>> >You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> > Groups
>>>> > "Wanabidii" group.
>>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> > an
>>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> >For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>> >
>>>> >
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>> --
>> Ephata Nanyaro
>> P.o.box 15359
>> Arusha
>> +255 754 834152
>> Skype.nanyaro.ephata
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Ephata Nanyaro
> P.o.box 15359
> Arusha
> +255 754 834152
> Skype.nanyaro.ephata
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment