Thursday 16 May 2013

RE: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI


Ndugu yangu Rashid, 
Tujikite kwenye ukweli si ubunifu. Mwongozo wa Waumini wa Kikatoliki,  ambao  mimi si mmoja wao,  niliusoma   kama  nivyosoma  Mwongozo wa Waislamu  uliotolewa na Sura ya Maimamu. Mwongozo wa  Wawakatoliki katu hakuwaimiza kumchangua Mkatoliki wala  Mkristo bali mgombea yeyote waliomuona mwaadilifu  bila kujali chama alikotoka.  Hata Mkatoliki Rais Mstaafu Mkapa alipokuwa anahitisha kampeni za Urais za CCM pale Jangwani aliwafokea wenye kusema eti changua mtu si chama na akasema changua chama. Lakini Sura ya Maimamu ilitaja bila kumungunya maneno kuwa Waislamu wamchague Mwislamu mwenye uwezekano wakushinda.   Maana yake ni kuwa  CCM ,  ikiwa ni pamoja na viongozi wake Wakikristo walicheza karati hii ya hatari ya kuasisis udini,  yaani kuwabagua wananchi na kuwa hukumu kwa dini zao na si kwa matendo yao binafsi bila kujalo kama waliwahi kuwa mapadre au masheikh. Ndio maana  CCM ilimtumia Mh Ngombare Mwiru kuwatuumu Wakatoliki udini na   lakini ikajikausha kuusu Mwonozo  wa  Sura ya Maimamu. Dr Slaa wapi  na wapi jamani alihubiri udini kama  si kumuonea baba wa watu.   Tuesme ukweli daima na fitina kwetu iwe mwiko. Tujenge umoja tusiiubomoe.
Mwl. Lwaitama
   
> Date: Thu, 16 May 2013 15:48:56 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
> From: rashid.o.maalim@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Kwani Udini ni kitu gani labda ,maana kama 2010 hata Kanisa
> katoliki lilitoa muongozo juu ya waumini wao katika kuchagua
> Raisi ,na ukweli Chaguo lao lilikuwa ni Slaa sasa mbona Babu
> slaa asemi haya
> On 5/15/13, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
> > msifanye generalization,hoja hapa ni UDINI,na imeelezwa ulianza lini
> > na nani alianzisha
> >
> > On 5/15/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
> >> Kaka angalia mapenzi nayo yanapofua.
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >> Walewale.
> >>
> >>
> >>
> >> ________________________________
> >> From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
> >> To: wanabidii@googlegroups.com
> >> Sent: Wednesday, May 15, 2013 1:57 PM
> >> Subject: Re: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
> >>
> >>
> >> Yona
> >> Unataka upinzani uje na suluhisho bila kutaja chanzo cha tatizo?penye
> >> ukweli lazima usemwe,ili tuwe huru
> >> Kwa tamko kama hili ikulu imejidhalilisha tena
> >>
> >> On 5/15/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> >>> Nilizani Dr Slaa kama mkuu wa upinzani nchini angekuwa na mawazo
> >>> mbadala ya nini sasa kifanyike kuliko nae kuanza kulalamika na
> >>> kunyooshea wengine vidole .
> >>>
> >>> Upinzani ubadilike kwa kuwa na masuluhisho ya matatizo mbalimbali
> >>> nchini .
> >>>
> >>> On May 15, 12:37 pm, amour chamani <abacham...@yahoo.com> wrote:
> >>>> Muhingo,
> >>>> Unaamini hivyo na vipi wengine tunaamini hivyo?
> >>>>
> >>>> Walewale.
> >>>>
> >>>> ________________________________
> >>>> From: ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
> >>>> To: wanabidii@googlegroups.com
> >>>> Sent: Wednesday, May 15, 2013 12:11 PM
> >>>> Subject: Re: [wanabidii] IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
> >>>>
> >>>> Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni: Kuaminika sana alikonako Dr. Slaa kwa
> >>>> wananchi na
> >>>> Kutoaminika sana kuliko miongoni mwa wananchi juu ya Ikulu yao kunaweza
> >>>> kuwafanya wananchi wakachukulia matamshi ya Slaa kuwa ndio ukweli na
> >>>> maelezo ya Ikulu yakakosa 'mashiko'. Kwa watu wanaotumia ubongo sana
> >>>> Taarifa kadhaa za Ikulu zinazojaribu kutetea mambo zimekuwa zikikosa
> >>>> kukubalika. Mfano wa wazi ni kukana vyombo vya dola kuhusika
> >>>> na uteswaji
> >>>> wa Dr Ulimboka. Madelezo yake yalionyeha kuhusika kwake.
> >>>> Ipo kazi na inapaswa kufanyika
> >>>> Elisa
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>>
> >>>> >________________________________
> >>>> > From: Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com>
> >>>> >To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >>>> >Sent: Tuesday, May 14, 2013 2:39 PM
> >>>> >Subject: [wanabidii] IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
> >>>>
> >>>> >TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
> >>>>
> >>>> >KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa
> >>>> > Wilbroad Slaa, leo, Jumatatu, Mei 13, 2013, amekaririwa na gazeti
> >>>> > moja
> >>>> > akidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
> >>>> > Jakaya
> >>>> > Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni, "ilikuwa ikisaka kura kwenye
> >>>> > nyumba za ibada na kumwaga sumu mbaya ya udini ambayo sasa inaitesa
> >>>> > Serikali na taifa" kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.
> >>>>
> >>>> >Aidha, katika habari hiyo iliyoandikwa chini ya kichwa cha
> >>>> > habari, "Dk.
> >>>> > Slaa amlipua JK"kwenye gazeti linalounga mkono CHADEMA la Tanzania
> >>>> > Daima, Mheshimiwa Slaa anadai kuwa migogoro ya sasa ya
> >>>> > kidini "inajengwa
> >>>> > au kutengenezwa na Serikali iliyojikita kusambaza sumu ya udini
> >>>> > katika
> >>>> > misikiti wakati wa kampeni za Urais mwaka 2010".
> >>>>
> >>>> >Kwa hakika, hakuna namna nyingine ama namna bora zaidi ya kuielezea
> >>>> > kauli
> >>>> > hii ya Mheshimiwa Slaa isipokuwa kwamba kauli hiyo ni riwaya nyingine
> >>>> > isiyokuwa na mshiko. Ni uongo mtupu. Yake Mheshimiwa Slaa ni maneno
> >>>> > yasiyokuwa na ukweli wowote. Ni uzushi na santuri ambayo imezoeleka
> >>>> > sasa
> >>>> > kwa wananchi.
> >>>>
> >>>> >Kauli ya Mheshimiwa Slaa ni mwendelezo wa mtiririko usiokuwa na mwisho
> >>>> > wa
> >>>> > ghiriba ambazo kamwe hazitafanikiwa za Mheshimiwa Slaa kuwahadaa
> >>>> > wananchi kuhusu ukweli wa mambo ulivyo katika nchi yetu.
> >>>> >Rais Jakaya Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni kamwe hawakufanya
> >>>> > kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, ama wa mwaka mwingine wowote,
> >>>> > katika
> >>>> > nyumba yoyote ya ibada iwe msikitini ama kanisani ama hekaluni ama
> >>>> > nyumba nyingine yoyote ya ibada mahali popote katika nchi yetu.
> >>>>
> >>>> >Mheshimiwa Rais Kikwete hajawahi hata kufikiria kuchanganya dini na
> >>>> > siasa. Hana sababu ya kufanya hivyo. Anaelewa fika madhara ya udini
> >>>> > kwa
> >>>> > mustakabali wa nchi yetu, kwa umoja wa taifa letu na kwa mshikamno wa
> >>>> > wananchi wake. Yoyote anayejaribu kumbebesha Rais Kikwete msalaba wa
> >>>> > udini ana lake jambo na ni vyema atuambie fika Rais alitumia Msikiti
> >>>> > upi, ama Kanisa lipi, mahali gani na kwa nyakati gani kufanya
> >>>> > kampeni.
> >>>> >Vinginevyo, kauli ya Mheshimiwa Slaa itabakia ni kauli tu inayostahili
> >>>> > kupuuzwa na wananchi, itabakia ni kauli ya mtu mzima anayetapatapa na
> >>>> > kufanya jitihada kubwa kujivunjia mwenye heshima kwa kutunga na
> >>>> > kusambaza uongo.
> >>>>
> >>>> >Tunanapenda kumshauri Mheshimiwa Slaa kuwa kama hana jambo la maana la
> >>>> > kuwaambia wananchi ama ameishiwa na hoja ni vyema anyamaze, awaachie
> >>>> > wananchi waendelee na shughuli zao za maendeleo, kuliko kuendeleza
> >>>> > riwaya zake zisizokuwa na mshiko. Yake ni santuri iliyowachosha
> >>>> > wananchi.
> >>>>
> >>>> >Imetolewa na:
> >>>> >Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
> >>>> >Ikulu.
> >>>> >Dar es Salaam.
> >>>> >13 Mei, 2013
> >>>>
> >>>> >--
> >>>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>>> >
> >>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>>> > ukishatuma
> >>>> >
> >>>> >Disclaimer:
> >>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> >>>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership
> >>>> > signifies
> >>>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> >>>> > and
> >>>> > Guidelines.
> >>>> >---
> >>>> >You received this message because you are subscribed to the Google
> >>>> > Groups
> >>>> > "Wanabidii" group.
> >>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> >>>> > an
> >>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>>> >For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>>> >
> >>>> >
> >>>>
> >>>> >--
> >>>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>>> >
> >>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>>> > ukishatuma
> >>>> >
> >>>> >Disclaimer:
> >>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> >>>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership
> >>>> > signifies
> >>>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> >>>> > and
> >>>> > Guidelines.
> >>>> >---
> >>>> >You received this message because you are subscribed to the Google
> >>>> > Groups
> >>>> > "Wanabidii" group.
> >>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> >>>> > an
> >>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>>> >For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>>> >
> >>>> >
> >>>>
> >>>> --
> >>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>>>
> >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>>> ukishatuma
> >>>>
> >>>> Disclaimer:
> >>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>>> legal
> >>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>>> must
> >>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> >>>> Guidelines.
> >>>> ---
> >>>> You received this message because you are subscribed to the Google
> >>>> Groups
> >>>> "Wanabidii" group.
> >>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> >>>> an
> >>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>>> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>>
> >>> --
> >>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>>
> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> ukishatuma
> >>>
> >>> Disclaimer:
> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> legal
> >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >>> be
> >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree
> >>> to
> >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>> ---
> >>> You received this message because you are subscribed to the Google
> >>> Groups
> >>> "Wanabidii" group.
> >>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> >>> an
> >>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>>
> >>>
> >>>
> >>
> >>
> >> --
> >> Ephata Nanyaro
> >> P.o.box 15359
> >> Arusha
> >> +255 754 834152
> >> Skype.nanyaro.ephata
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to
> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to
> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >>
> >>
> >>
> >
> >
> > --
> > Ephata Nanyaro
> > P.o.box 15359
> > Arusha
> > +255 754 834152
> > Skype.nanyaro.ephata
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

0 comments:

Post a Comment