Wednesday 15 May 2013

Re: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI

 
Ndugu yangu Ephata ina maana miaka ishirini na moja ya vyama vyingi bado tu tunachambua vyanzo vya matatizo???? Duh kama ni hivyo kuing'oa CCM itakuwa kazi kubwa. Nani leo hii hajui vyanzo vya matatizo yetu??? Tumechoka kuelezwa vyanzo tunataka stuelezwe olutions and its implementations.

From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 15, 2013 1:57 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI

Yona
Unataka upinzani uje na suluhisho bila kutaja chanzo cha tatizo?penye
ukweli lazima usemwe,ili tuwe huru
Kwa tamko kama hili ikulu imejidhalilisha tena

On 5/15/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Nilizani Dr Slaa kama mkuu wa upinzani nchini angekuwa na mawazo
> mbadala ya nini sasa kifanyike kuliko nae kuanza kulalamika na
> kunyooshea wengine vidole .
>
> Upinzani ubadilike kwa kuwa na masuluhisho ya matatizo mbalimbali
> nchini .
>
> On May 15, 12:37 pm, amour chamani <abacham...@yahoo.com> wrote:
>> Muhingo,
>> Unaamini hivyo na vipi wengine tunaamini hivyo?
>>
>> Walewale.
>>
>> ________________________________
>>  From: ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Wednesday, May 15, 2013 12:11 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
>>
>> Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni: Kuaminika sana alikonako Dr. Slaa kwa
>> wananchi na
>> Kutoaminika sana kuliko miongoni mwa wananchi juu ya Ikulu yao kunaweza
>> kuwafanya wananchi wakachukulia matamshi ya Slaa kuwa ndio ukweli na
>> maelezo ya Ikulu yakakosa 'mashiko'. Kwa watu wanaotumia ubongo sana
>> Taarifa kadhaa za Ikulu zinazojaribu kutetea mambo zimekuwa zikikosa
>> kukubalika. Mfano wa wazi ni kukana vyombo vya dola kuhusika na uteswaji
>> wa Dr Ulimboka. Madelezo yake yalionyeha kuhusika kwake.
>> Ipo kazi na inapaswa kufanyika
>> Elisa
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> >________________________________
>> > From: Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com>
>> >To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> >Sent: Tuesday, May 14, 2013 2:39 PM
>> >Subject: [wanabidii] IKULU : DR SLAA AACHE UZUSHI
>>
>> >TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
>>
>> >KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa
>> > Wilbroad Slaa, leo, Jumatatu, Mei 13, 2013, amekaririwa na gazeti moja
>> > akidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
>> > Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni, "ilikuwa ikisaka kura kwenye
>> > nyumba za ibada na kumwaga sumu mbaya ya udini ambayo sasa inaitesa
>> > Serikali na taifa" kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.
>>
>> >Aidha, katika habari hiyo iliyoandikwa chini ya kichwa cha habari, "Dk.
>> > Slaa amlipua JK"kwenye gazeti linalounga mkono CHADEMA la Tanzania
>> > Daima, Mheshimiwa Slaa anadai kuwa migogoro ya sasa ya kidini "inajengwa
>> > au kutengenezwa na Serikali iliyojikita kusambaza sumu ya udini katika
>> > misikiti wakati wa kampeni za Urais mwaka 2010".
>>
>> >Kwa hakika, hakuna namna nyingine ama namna bora zaidi ya kuielezea kauli
>> > hii ya Mheshimiwa Slaa isipokuwa kwamba kauli hiyo ni riwaya nyingine
>> > isiyokuwa na mshiko. Ni uongo mtupu. Yake Mheshimiwa Slaa ni maneno
>> > yasiyokuwa na ukweli wowote. Ni uzushi na santuri ambayo imezoeleka sasa
>> > kwa wananchi.
>>
>> >Kauli ya Mheshimiwa Slaa ni mwendelezo wa mtiririko usiokuwa na mwisho wa
>> > ghiriba ambazo kamwe hazitafanikiwa za Mheshimiwa Slaa kuwahadaa
>> > wananchi kuhusu ukweli wa mambo ulivyo katika nchi yetu.
>> >Rais Jakaya Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni kamwe hawakufanya
>> > kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, ama wa mwaka mwingine wowote, katika
>> > nyumba yoyote ya ibada iwe msikitini ama kanisani ama hekaluni ama
>> > nyumba nyingine yoyote ya ibada mahali popote katika nchi yetu.
>>
>> >Mheshimiwa Rais Kikwete hajawahi hata kufikiria kuchanganya dini na
>> > siasa. Hana sababu ya kufanya hivyo. Anaelewa fika madhara ya udini kwa
>> > mustakabali wa nchi yetu, kwa umoja wa taifa letu na kwa mshikamno wa
>> > wananchi wake. Yoyote anayejaribu kumbebesha Rais Kikwete msalaba wa
>> > udini ana lake jambo na ni vyema atuambie fika Rais alitumia Msikiti
>> > upi, ama Kanisa lipi, mahali gani na kwa nyakati gani kufanya kampeni.
>> >Vinginevyo, kauli ya Mheshimiwa Slaa itabakia ni kauli tu inayostahili
>> > kupuuzwa na wananchi, itabakia ni kauli ya mtu mzima anayetapatapa na
>> > kufanya jitihada kubwa kujivunjia mwenye heshima kwa kutunga na
>> > kusambaza uongo.
>>
>> >Tunanapenda kumshauri Mheshimiwa Slaa kuwa kama hana jambo la maana la
>> > kuwaambia wananchi ama ameishiwa na hoja ni vyema anyamaze, awaachie
>> > wananchi waendelee na shughuli zao za maendeleo, kuliko kuendeleza
>> > riwaya zake zisizokuwa na mshiko. Yake ni santuri iliyowachosha
>> > wananchi.
>>
>> >Imetolewa na:
>> >Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
>> >Ikulu.
>> >Dar es Salaam.
>> >13 Mei, 2013
>>
>> >--
>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> >Disclaimer:
>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> > Guidelines.
>> >---
>> >You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>>
>> >--
>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> >Disclaimer:
>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> > Guidelines.
>> >---
>> >You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



0 comments:

Post a Comment