Friday 17 May 2013

Re: [wanabidii] Re: Charles Mullinda ajitoa kwenye Jukwaa la Wahariri Tanzania

Hildegarda,
Matangazo ya  biashara hayakiuki maadili. Kazi ya mhariri si kuthibitisha mteja wa madawa ya kienyeji anasema kweli au uwongo.
Ndiyo maana yanaitwa matangazo ya biashara. Shauri yake mnunuzi.
em

2013/5/17 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka TEF inasomeka

"kuchunguza habari hiyo na kubaini iwapo kulikuwa na
ukiukwaji wa maadili na misingi ya kitaaluma ya habari"
...... sasa haya matangazo niliyoyataja ya magazeti yao watangazayo wao pia  hayakiuki taaluma na maadili ya nchi? maana taaluma ya waandishi ni kutumia sayansi. Je, matangazo ya dawa za jini chuma ulete yana sayansi? dawa ya kupasi mtihani bila ya hata kuhudhuria shule au na kuhudhuria jee ipo? Ni taaluma hii au maadili si kuangalia tumboni street tu?-hela!!

TEF inasema "'....Kuchunguza mazingira ya kuchapishwa kwa habari hiyo na kama kulikuwa na msukumo wowote nyuma ya kuandikwa kisha kuchapishwa kwake".....

Jee-mazingira ya matangazo yasiyo maadili na msukumo wake si unajulikana-gazeti kujipatia fedha ili liweze kukuza kipato na kuweza kulipa mishahara wafanyakazi wake regardless ya ukiukwaji maadili ya nchi na jamii!!

Mtoto umleavyo-ndivyo akuavyo. Mlezi ukikiuka maadili-watoto jee watakuwaje? Ni kweli tatizo lipo Nd Yona!!

--- On Fri, 17/5/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: Charles Mullinda ajitoa kwenye Jukwaa la Wahariri Tanzania
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 17 May, 2013, 14:04

Hili ni tatizo ndio maana hao waliotoa hukumu hii hata kwenye mitandao
ya kijamii wanaendelea kujadili kwa kukomoa , nakumbuka mmoja wa
wahariri aliyekuwa kwenye kamati hii aliwahi kumlaumu huyu bwana hata
ukiangalia makala zake za siku za karibuni kwenye uchokonozi utaona
kuna jambo linaendelea .

On May 17, 2:53 pm, Hildegarda Kiwasila <khildega...@yahoo.co.uk>
wrote:
> Na yale magazeti kwa mfano Nipashe (page 18 matangazo madogo madogo) na magazeti  mengineyo yanayotoa matangazo ya uganga ya kinyume na maadili wanayafanywa nini ikiwa Mhariri akikosea au kushukiwa kukosea anafanya hivi?
>
> Gazeti linalomsimamisha Mhariri kwa utovu wa maadili, lenyewe likaweka/linaweka mataganzo ya waganga yasemayo-'Dawa ya kupasi mtihani kuwa wakwanza hata kama umefeli, dawa ya kuwa na akili darasani; kufuta kesi mahakamani, kumkamata mwanaume akutimizie utakayo na akusake mwenyewe; hela za jini chuma ulete; dawa ya kutajirika na madini; bosi akupende wewe etc inatolewa kama tangazo ktk gazeti. Jee kumthibiti mhariri/wahariri lakini gazeti linaachiwa kuendelea na mengine kama haya ktk jamii ni halali haina makosa. Kwa mwali kunaliwa na kwa somo pia kuliwe!! yaani kama ni adhabu-kwa wote basi!! Mungu nisamehe na unisaidie kwani ninauliza tu.
>
> --- On Fri, 17/5/13, Reginald Miruko <rsmir...@gmail.com> wrote:
>
> From: Reginald Miruko <rsmir...@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Charles Mullinda ajitoa kwenye Jukwaa la Wahariri Tanzania
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, 17 May, 2013, 10:47
>
> Hiyo ilikuwa reaction ya tukio hili:
>
> TAARIFA
> KWA VYOMBO VYA HABARI
>
>
>
> 1.
>     Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) katika kikao
> chake leo, Jumatano, Mei 15, 2013 limemsimamisha uanachama kwa muda
> usiojulikana, Mhariri wa Mtanzania Jumatano, Charles Mulinda. Kwa maana hiyo
> Mulinda ataendelea kuwa nje ya TEF hadi hapo itakapoamuliwa vinginevyo.
>
>
>
> 2.
>     TEF imechukua uamuzi huo baada ya kupokea
> na kujadili kwa kina taarifa ya Kamati ndogo ya wahariri watatu ambayo
> iliongozwa na Mhariri wa Nipashe, Jesse Kwayu kwa ajili ya kuchunguza habari
> iliyochapishwa na Gazeti la Mtanzania, Jumatano Aprili 17 mwaka huu ikiwa na
> kichwa kisemacho "Mtandao Hatari".
>
>
>
> 3.
>     Habari hiyo iliwataja wahariri wawili,
> Ansbert Ngurumo wa Tanzania Daima na Deodatus Balile wa Jamhuri kuwa ni
> washirika wa  Joseph Ludovick, mshitakiwa
> katika kesi ambayo ilikuwa ikihusishwa na ugaidi (kabla ya kubadilishwa na
> mahakama) lakini ikiwahusisha kwa namna moja au nyingine na tukio la kuumizwa
> kwa Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda.
>
>
>
> 4.
>     Yalikuwa ni maoni ya wahariri wengi katika
> Mkutano wa April 18, 2013, kwamba habari hiyo ilikuwa na upungufu mkubwa
> kitaaluma, hivyo kuamua kuchunguza habari hiyo na kubaini iwapo kulikuwa na
> ukiukwaji wa maadili na misingi ya kitaaluma ya habari.
>
>
>
> 5.
> 0 Kamati hiyo pamoja na mambo mengine
> ilipaswa kuchunguza yafatayo:
>
>
>
> 5.1
>     Kuchunguza mazingira ya kuchapishwa kwa
> habari hiyo na kama kulikuwa na msukumo wowote nyuma ya kuandikwa kisha
> kuchapishwa kwake.
>
>
>
> 5.2
>     Kuchunguza chanzo/vyanzo vya habari hiyo na
> kubaini kama kulikuwa na ajenda maalum.
>
>
>
> 5.3
>     Kuchunguza ushahidi wa tuhuma zilizotolewa
> dhidi ya Deo Balile na Ansbert Ngurumo (kama Mullinda) alivyokiambia kikao cha
> Aprili 18 kwamba alikuwa na ushahidi wa yale aliyoandika.
>
>
>
> 5.4
>     Kuchunguza na kubaini iwapo habari husika
> ilikidhi vigezo vya kitaaluma.
>
>
>
> 6.
> 0  Katika uchunguzi wake Kamati ilibaini
> yafuatayo:
>
> 6.1
> Kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa maadili ya
> kitaaluma katika mchakato mzima uliowezesha kuandikwa na kuchapwa kwa habari
> husika na kwamba habari hiyo haikuwa na sifa wala vigezo vya kihabari.
>
>
>
> 6.2
> Mulinda akiwa Mhariri wa Gazeti la Tanzania
> Jumatano, alishindwa kuthibitisha usahihi wa taarifa hiyo na hata alipotakiwa
> kutoa ushahidi wa tuhuma dhidi ya wahariri aliowataja hakuweza kufanya hivyo.
>
>
>
> 6.3
> Tangu kuandikwa kwake, kuhaririwa na hadi
> kuchapishwa kwa taarifa hiyo, hakukuwa na vikao rasmi vya wahariri ambavyo
> kimsingi ndivyo vinavyopaswa kufanya uamuzi kwamba ni habari gani ichapishwe na
> kwa vigezo gani.
>
>
>
> 6.4
> Kwamba kulikuwa na nguvu (msukumo) ya ziada
> katika kuchapishwa kwa habari hiyo kwani taarifa kwamba habari hiyo
> ingechapishwa zilifahamika siku moja kabla ya kuchapishwa kwa habari yenyewe.
>
>
>
> 6.5
> Kwamba Mhariri
> husika alithibitika kukaidi uamuzi wa TEF kwa kuendeleza mjadala huo katika
> Makala yake ya Mchokonozi ya Mei 8, 2013 iliyobeba kichwa cha Habari
> "Simba hapigani na Binadamu" huku akijua kuwa kufanya hivyo ni
> kuingilia Uhuru wa Kamati iliyokuwa ikiendelea na uchunguzi wa suala hilo.
>
>
>
>
>
> 7. 0 Hitimisho
>
> 7.1
>     Kwa
> kuzingatia matokeo hayo TEF inaushauri Uongozi wa New Habari (2006) Ltd na vyumba vingine vya habari  kuboresha mfumo wake wa usimamizi wa uhariri
> ili kuziba mianya kwa habari tata kama hiyo ya "Mtandao Hatari"
> kupenya na kuwaumiza baadhi ya watu bila kuwapo kwa uthibitisho wa tuhuma
> husika.
>
>
>
> 7.2
>   TEF inaendelea
> kuchukua hatua nyingine za ndani kuimarisha usimamizi wa nidhamu na maadili kwa
> wahariri ikiwa na itaendelea kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wowote ule wa
> kitaaluma utakaofanywa katika vyombo vya habari.
>
>
>
> Imetolewa
> na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
>
> Dar es
> Salaa, Mei 15, 2013
> RSM
>
> 2013/5/17 ezekiel kunyaranyara <ekunyarany...@yahoo.co.uk>
>
> Mhariri ndugu yangu,
>
> Itoshe tu kusema POLE.
>
>
> K.E.M.S.
>
> From: Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com>
>
> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, 17 May 2013, 1:57
>
> Subject: [wanabidii] Charles Mullinda ajitoa kwenye Jukwaa la Wahariri Tanzania
>
> Charles Mullinda
> Mhariri Mtanzania Jumatano
>
> Kaimu Mwenyekiti
> Jukwaa la Wahariri
>
> YAH: KUJITOA KWENYE JUKWAA
>
> Napenda kukufahamisha kuwa nimeamua kujitoa kwenye Jukwaa la Wahariri kwa sababu siridhiki na mwenendo wa Jukwaa hilo.
>
> Nimeamua kujitoa kwa sababu sijaridhishwa na uamuzi uliofikiwa wa kuingilia uhuru wa habari na kufumbia macho baadhi ya mambo ambayo ninaamini hayapaswi kufumbiwa macho.
>
> Uamuzi wangu huu pia unatokana na jinsi jukwaa linavyotumia nguvu kubwa kuficha ukweli unao wahusisha
>
> baadhi ya wahariri ambao gazeti hili lilibaini kuwa walikuwa na mawasiliano yenye utata na aliyekuwa mtuhumiwa wa ugaidi, Joseph Ludovick.
>
> Aidha, siridhishwi na jinsi baadhi ya wahariri wanavyoshambuliwa na wahariri wenzao katika magazeti yao pasipo Jukwaa kuchukua hatua huku kwa upande mwingine likitumia nguvu kubwa na pesa nyingi kuwalinda baadhi ya wahariri ambao nyendo zao zinatia mashaka.
>
> Kikao cha kwanza na TEF na kilichofanyika leo kimedhihirisha pasipo mashaka kuwa TEF iliamua kuwa na ajenda maalumu ya kumshughulikia Mullinda kwa kuwa tu nilionyesha mawasiliano ya Deodatus Balile na Ansbert Ngurumo dhidi ya Ludovick kama ambavyo gazeti la Tanzania Daima lilivyoonyesha mawasiliano ya Dennis Msaki na
>  Ludovick.
> Ripoti ya timu iliyoundwa kuchunguza ukweli wa habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania Jumatano ina upungufu mkubwa wa kimantiki ambao hata kwenye kikao niliuonyesha lakini haukusikilizwa.
>
> Ushahidi wa Ngurumo kumtuma pesa Ludovick upo wazi, lakini hakuna mtu anayeliangalia hilo kwa sababu tu timu ile iliundwa kumshughulikia Mullinda kwa sababu aliandika vigogo wa TEF ambao wako karibu na viongozi wa TEF.
>
> Nimeamua kujitoa baada ya kubaini kuwa jukwaa linafanya kazi kwa ajili ya maslahi ya watu binafsi.
>
> Kwa taarifa hii naamini utaratibu wa kawaida wa kuagana utazingatiwa.
>
> Charles Mullinda.
>
> Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/05/charles-mullinda-ajitoa-kwenye-j...
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

>   ...
>
> read more »

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment