Friday 17 May 2013

Re: [wanabidii] Rais Barack Obama Kutembelea Tanzania Mwezi ujao

Uranium na gesi?

On 17/05/2013, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
> Kwa nini hatembelei Kenya kwao? Kwanini TZ? Hakuna cha Utawala Bora wala
> Uhuru wa Habari, Wamarekani na wazungu hawana urafiki usiokuwa na faida!
> Utawala bora, uhuru nk si faida kwao. Hapa ni Gesi na Madini mengine tu.
> Vin
>
>
> 2013/5/17 richard bahati <ribahati@gmail.com>
>
>> Kwa sis watanzania, ziara hii ya kiongozi mkubwa duniani ina manufaa gani
>> kibiashara, kiuchumi, kiusalama? Kuna fursa gani kwa Watanzania kama
>> ilivyoluwa kwa Rais wa China? Ni matumaini yetu kuwa ziara hii itazidi
>> kuliweka Taifa letu katika sura nzuri kimataifa na kitaifa. Ikumbukwe
>> kwamba, Marais wa nchi kubwa kama Marekani wanachagua kutembelea nchi
>> zile
>> zinazofanya vizuri katika utawala bora, demokrasia madhubuti, uhuru wa
>> haki
>> za binadamu, uhuru wa vyombo vya habari, kusimamia na kutimiza vyema
>> malengo ya millenium..... Hivyo kwa Tanzania kupata ugeni kama huu ni
>> ishara nzuri na chachu ya kuendelea kufanya vizuri zaidi. Mungu Ibariki
>> Tanzania......
>> Habari zaidi soma hapa
>>
>> http://goldentz.blogspot.com/2013/05/rais-barack-obama-kutembelea-tanzania.html
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
RSM

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment