Tuesday 7 May 2013

Re: [wanabidii] Nyangero ashinda Hamburg Marathon

Good news!

2013/5/7 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>

MTANZANIA Nyangero Patrick ameshinda mbio za Sc Hamburg Marathon nchini Ujerumani hivi karibuni baada ya kutumia saa 2:19.08.

Nyangero anayetokea klabu ya Holili Youth Athletic Club ya mkoani Kilimanjaro, alifanikiwa kuibuka mshindi akiwaacha Wakenya kwa mbali na kufuta uteja wa Tanzania kwa wanariadha kutoka nchi za Kenya na Ethiopia.

Nafasi ya pili alikuwapo Mkenya David Kiprono, aliyetumia saa 2:24.56 akifuatiwa na mwenzake, Elisha Tarus saa 2:24:59.

Nafasi ya nne na ya tano zilichukuliwa na Wapoland, Andrey Lachowski saa 2:26.46 na Grzegorz Czyz saa 2:36.23.

Mkurugenzi wa klabu ya Holili inayomsimamia mwanariadha huyo, Domician Genandi, alisema Nyangero ilikuwa arejee nchini Mei 17, mwaka huu, lakini amebaki huko kushiriki mbio nyingine na kuongeza, kama klabu wamejipanga kumfanyia mapokezi makubwa shujaa huyo.

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Kusirie E. Senkondo
Living for Christ
+255 754 476 854
+255 715 476 854

"NO RESPONSIBILITY WITHOUT ACCOUNTABILITY"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment