Tuesday 7 May 2013

RE: [wanabidii] Mh Zitto sijakuelewa

Wakati mwingine turudi nyuma na kuangalia historia kama nakumbuka vizuri waislamu walikuwa na chombo chao wakati wa ukoloni katika ngazi ya East Africa baada ya uhuru ikaonekana ni busara kuwa na chombo katika ngazi ya Nchi iliyo huru.Mapungufu yanaweza kuwepo ikiwamo kutokukubaliana baina ya vikundi mbalimbali miongoni mwa waislamu na BAKWATA.Busara ni kutumia njia zilizo sahii kuwasilisha malalamiko nakutungeneza forum itakayo wasilisha vikundi vyote kama hilo linawezekana.
 
Date: Wed, 8 May 2013 08:09:28 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Mh Zitto sijakuelewa
From: isackmn1965@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hata hivyo fujo husababisha watu kuwajibika zaidi, ukiona viongozi wamelewa madaraka wanawakejeli hata wananchi waliowachagua ni kwa sababu ya amani, ni sawa na unapokaa mtaa usiokuwa na wizi huwezi kukumbuka kununua kufuli, wakati mwingine waislamu wako sawa.

2013/5/7 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
BM
Hii ndio hoja jadidi ambayo wengi tumeisikia kwa masikio yetu lakini tumekuwa tunasita kuitamka. Waislam wengi nilioongea nao mimi wengi e wakiwa sehemu ya familia yetu wanaapa kuwa hawaitambui BAKWATA. Wengi wanaiona BAKWATA kama chombo kandamizi kwa uislam. Wanayo madai mengi kweli ukikaa kuwasikiliza kwa mtizamo wangu utaonatu kwamba watu wamechoka kuona wametulia wznztamani kuwepo na fujo hivi ndio wanafurahi. Hivi ndivyo ninavyoona mimi
KEMS
Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Mh Zitto sijakuelewa
Sent: Tue, May 7, 2013 8:57:06 AM

BAKWATA ni chombo kilichoundwa na serikali,sio waislamu!,alimaanisha
kuwa serikali isiongee na serikali tu,iongee na mabaraza halali ya
dini hiyo!

On 5/6/13, paul chilewa <poulchilewa@hotmail.com> wrote:
> Nimekusikiliza ukichangia budget ya mambo ya ndani, mwanzoni nilikuelewa
> uliposisitiza umuhimu wa viongozi hasa wa kisiasa kutoa matamko yanayo
> wagawa wananchi hasa kuwagawa kidini,ulichonichanganya ni pale ulipo sema
> serikali inakosea kuongea na BAKWATA kwani sio chombo kinachokubalika na
> waislamu wote,inawezekana ni kweli kutokana na utafiti wako lakini pengine
> unguzitaja taasisi nyingine zilizo omba kuongea na serikali sikakataliwa na
> ni kwa masuala yapi kwani kama sijakosea nadhani ni serikali hiyohiyo
> iliyoongea na waislamu ambao sio BAKWATA na kuwapa chuo cha TANESCO kama
> sija kosea na kuwa chuo cha kiislamu Tanzania.Mimi nadhani ungetoa mfano wa
> tasisi hizo badala ya kuitaja BAKWATA kutokubalika na kuacha kutaja taasisi
> nyingine zilizonyimwa haki hiyo ya kuongea na serikali.Vilevile unaposema
> serikali isijihusishe na masuala ya kidini hukufafanua najua muda  wa dakika
> tano hautoshi lakini nivizuri ukawaeleza watanzania kujihusisha kivipi ili
> tupate tafsiri sahihi.Mimi binafsi serkali kusaidia taasisi ya kidini kama
> ya kiislamu kupata eneo la kutoa huduma za kijamii kama elimu(Chuo cha
> kiislamu ni sahihi) lakini kwa uendeshaji dini pengine inaweza isiwe
> sahihi.Nahisi badala ya kusaidia kutatua tatizo wewe ndio unamwaga petroli
> Mh tueleze hata muamsho na vikundi vingine vya kigaidi navyo vipewe nafasi
> mimi binafsi nadhani sio sahihi,Mwisho tuambie grievancies unazotaka
> serikali kushughulikia nizipi au ni zile tunazosikia kila siku kwenye
> mihadhara?                      
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment