Tuesday 7 May 2013

Re: [wanabidii] Mh Zitto sijakuelewa

Lile linaloongozwa na Ponda.,ndilo muhimu sana kwa sasa!

On 5/7/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
> Na mabaraza hayo ni kama yapi BM? Kwa baadhi ya dini ili ionekane kuwa haki
> imetendeka inabidi labda kuongea na kila mtu mmojammoja?
>
>
>
>
> 2013/5/7 Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
>
>> BAKWATA ni chombo kilichoundwa na serikali,sio waislamu!,alimaanisha
>> kuwa serikali isiongee na serikali tu,iongee na mabaraza halali ya
>> dini hiyo!
>>
>> On 5/6/13, paul chilewa <poulchilewa@hotmail.com> wrote:
>> > Nimekusikiliza ukichangia budget ya mambo ya ndani, mwanzoni
>> > nilikuelewa
>> > uliposisitiza umuhimu wa viongozi hasa wa kisiasa kutoa matamko yanayo
>> > wagawa wananchi hasa kuwagawa kidini,ulichonichanganya ni pale ulipo
>> > sema
>> > serikali inakosea kuongea na BAKWATA kwani sio chombo kinachokubalika
>> > na
>> > waislamu wote,inawezekana ni kweli kutokana na utafiti wako lakini
>> pengine
>> > unguzitaja taasisi nyingine zilizo omba kuongea na serikali
>> > sikakataliwa
>> na
>> > ni kwa masuala yapi kwani kama sijakosea nadhani ni serikali hiyohiyo
>> > iliyoongea na waislamu ambao sio BAKWATA na kuwapa chuo cha TANESCO
>> > kama
>> > sija kosea na kuwa chuo cha kiislamu Tanzania.Mimi nadhani ungetoa
>> > mfano
>> wa
>> > tasisi hizo badala ya kuitaja BAKWATA kutokubalika na kuacha kutaja
>> taasisi
>> > nyingine zilizonyimwa haki hiyo ya kuongea na serikali.Vilevile
>> > unaposema
>> > serikali isijihusishe na masuala ya kidini hukufafanua najua muda wa
>> dakika
>> > tano hautoshi lakini nivizuri ukawaeleza watanzania kujihusisha kivipi
>> ili
>> > tupate tafsiri sahihi.Mimi binafsi serkali kusaidia taasisi ya kidini
>> kama
>> > ya kiislamu kupata eneo la kutoa huduma za kijamii kama elimu(Chuo cha
>> > kiislamu ni sahihi) lakini kwa uendeshaji dini pengine inaweza isiwe
>> > sahihi.Nahisi badala ya kusaidia kutatua tatizo wewe ndio unamwaga
>> petroli
>> > Mh tueleze hata muamsho na vikundi vingine vya kigaidi navyo vipewe
>> nafasi
>> > mimi binafsi nadhani sio sahihi,Mwisho tuambie grievancies unazotaka
>> > serikali kushughulikia nizipi au ni zile tunazosikia kila siku kwenye
>> > mihadhara?
>> >
>> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Wasalaam,
>
> Denis Matanda,
> Mine Planning Supt,
> Tanzania.
>
> *" Low aim, not failure, is a crime"*
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment