Monday 20 May 2013

Re: [wanabidii] Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu....

Hivi machinga kwanza ni nani, kwani nijuavyo mimi ni wale wenye kuzunguka, hawana eneo maalumu.

Siri ya hao wafanyabiashara ndogodongo kutotaka kuondoka maeneo waliopo sio tu kwamba wanakopelekwa hakuna biashara, la hasha. Hizo bidhaa ni za wenye maduka hapo hapo wanapouzia, kwa hiyo wafanyabiashara wakubwa ni washiriki na wafadhili wa hizo vurugu pia.

Hizi siasa zikiendelea kuna siku barabara zote hazitofikika, zitakuwa meza za hao wafanyabiashara.

2013/5/20 xavery njovu <njovucom@gmail.com>
Lushengo

Machinga  wana  akili  ya  ziada.  Huu  ndio  ukweli.  Maeneo  ya  machine  tatu  na  maeneo   mengine   mshindo,  stand,  mpaka  maeno ya kuelekea  kihesa,  soko   kuu  na  uhindinihe  ndio  town  centre.   Sasa  unataka  ukajenge  soko   mwangata   au   itamba    au makanyagio  ambako  ni  nje   ya  mji.  Hivi  kweli  watu  watakuelewa.  yaani  unajenga soko  au  eneo  la  machinga  nje  ya  mji  unategemea  nini.  Maofisi, Masoko, stand  na  huduma  zote  muhimu  zipo  katikati  ya mji  leo  mtu   huyu  unataka  kumpeleka  nje  ya  mji  akamuuzie  nani.  " MUUZAJI YOYOTE  YULE  HUWA  ANAANGALIA  SOKO  LA UHAKIKA"

Regards
xn

2013/5/20 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>

Michango mingi hapa ni ya kishabiki. Tatizo linajulikana, machinga sehemu nyingi mijini ni nuisance. Wametengewa sehemu zao za biashara hawataki kwenda, dawa ni nini? Bakora.

Sent from Galaxy Note

On 20 May 2013 14:28, "Gloria Mazoko" <mazokogloria@yahoo.com> wrote:
Mjengwa nakubaliana na wewe100%. Wakati mwingine ni bora kuepusha shari. Ni hekima kidogo tu iliitajika kama ulivyokwisha sema angekutana na wahusika wa Manispaa kwa majadiliano. Kwa mtindo huu watu watachoka sasa.
 
from: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, May 19, 2013 12:18 PM
Subject: [wanabidii] Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu....

Kinachotokea Iringa, tafsiri yangu…
 
Ndugu zangu,
 
Leo saa mbili na nusu asubuhi nilifika Jengo la NSSF nikitokea kufanya jogging yangu ya asubuhi. Nilifika hapo kuwahi kununua magazeti.
 
Hali ilikuwa shwari kama ilivyo kawaida ya Iringa Jumapili asubuhi. Kunako saa tatu asubuhi nilipokuwa nyumbani nikisoma magazeti,  ndipo niliposikia mlio wa kwanza wa bomu la machozi. Idadi yake ikaanza kuongezeka.
 
Nikiwa na kamera yangu nikajisogeza  hadi katikati ya mji kufahamu zaidi kinachotokea. Nilichokiona ni  vurugu kati ya Wamachinga na Jeshi la Polisi.
 
Tatizo?
 
Ni  dogo sana, lakini linakuzwa kwa vile siasa imepelekwa mbele badala ya kutanguliza hekima na busara. Kwa kufuatilia suala la Wamachinga kufanya biashara eneo la barabarani pale Mashine tatu naamini kabisa, kuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa angeweza kuepusha hali inayoendelea sasa  kwa kuwasihi Wamachinga watii kwanza amri ya Manispaa, na yeye, kama Mbunge wao, kujiingiza kwenye mazungumzo ya dhati na wenzake kwenye Halamshauri ya Manispaa ya Iringa katika kutafuta ufumbuzi wa suala hili. Na hiyo ndio siasa. Siasa ina maana ya majidiliano endelevu badala ya kuhamasisha matumizi ya nguvu au vurugu pale milango ya majadiliano  ingali wazi.
 
Kinachotokea Iringa kwa sasa ni doa kubwa kwa mji wetu wenye sifa ya muda mrefu ya utulivu. Kina athari kubwa kiuchumi pia.  Pale Iringa mjini nilichokiona leo ni kama mji ulio katika mapigano ya kivita. Watu ni wachache na wenye hofu.
 
Biashara nyingi zimesimama. Niliziona Daladala zikitoka Kituo cha Miyomboni bila hata abiria, watoke wapi? Wakati kwa sasa walio nje ya mji wameambiwa na jamaa zao walio katikati ya mji kuwa wasijaribu kufika mjini,  kwamba hali imechafuka.
 
Nimeongea na mwuza nyama ya bucha aliyeniambia kuwa mgomo wa Daladala wa hivi karibuni ulimfanya apate hasara kubwa kwenye  biashara yake ya nyama kwa vile wateja wake wengi wanatoka nje ya mji. Na anachokiona leo ni hasara nyingine kwa vile hakutakuwa na biashara nzuri. Je, ni wafanyabiashara wangapi watakaoathirika na hali hii ya leo?
 
Na kwa kuwa mkweli, kisiasa kinachotokea Iringa kwa sasa kinaweza kuwa na athari hasi kwa Mchungaji Msigwa badala ya kumjenga kisiasa, kwani, wengi niliozungumza nao katikati ya mji wanamwona Mchungaji Msigwa kuwa ni mtu ambaye angeweza kuiepusha hali hii kama asingeyatumia majukwaa ya siasa kuwahamasisha Wamachinga kuendelea kufanya biashara, na hivyo, kutokutii amri ya Manispaa.
 
Mchungaji Msigwa ni rafiki yangu, muda mfupi uliopita nimempigia simu. Imeita bila majibu. Mmoja wa watu wake wa karibu ameniambia yuko kwenye Harambee pale Tumaini University.
 
Kama Mchungaji Msigwa angejibu simu yangu, basi, ningemwambia haya ninayoyaandika hapa.
 
Maggid Mjengwa,
Iringa.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

0 comments:

Post a Comment