Monday 13 May 2013

Re: [wanabidii] HIZI NI CHOKOCHOKO ZA KUTUJARIBU!

Kwani tatizo liko  wapi  hapo mbona umetumia nguvu  nyingi  bila sababu

---------- Forwarded message ----------
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Date: 2013/5/12
Subject: [wanabidii] HIZI NI CHOKOCHOKO ZA KUTUJARIBU!
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Jamani,
Zanzibar wala sio Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya OIC, sasa inakuaje Zanzibar inakuwa mwenyeji wa Mkutano huo wa Kimataifa?
Wengine tukiuliza nchi gani iliyojiunga na OIC imekuwa tajiri akina bin Issa mtakuja juu!
Au hii ni nchi yetu kujaribiwa kisiasa?
// Nkumba

CHUO Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA kinatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Umoja wa Nchi za Kiislamu Duniani OIC ambao utafanyika Septemba 2, mwaka huu. Mkutano huo wa kimataifa utafanyika Zanzibar kwa mashirikiano ya Nchi ya Omani, Umoja wa OIC na Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA.
Taarifa hiyo imekuja kupitia Ziara ya siku nne ya Maafisa wa Nchi ya Omani walioambatana na Maafisa wa Jumuiya ya OIC iliyoanza leo mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kumbumbuku na Nyaraka ya Nchi ya Oman Dkt. Hamed Mohammed Al Dhawiyaniy amesema Zanzibar imepata nafasi hiyo kutokana na kuwa na Mahusiano mema na Nchi nyingi ulimwenguni na hasa katika nchi za kiarabu.
Amesema Historia na Utamaduni wa Kiislamu wa Zanzibar na namna ulivyotumika katika kusambaza Uislamu Nchi nyingine umekuwa kigezo muhimu cha Zanzibar kupata nafasi hiyo.
"Kwa vile Zanzibar ina historia nzuri katika kusambaza Uislamu nchi nyingine tunaimani kuwa hata malengo ya Mkutano wetu huo yatafikiwa kwa kiasi kikubwa " Alisema Dkt. Al Dhawiyaniy ambaye pia ni Mkuu wa Msafara huo...............................................................

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment