Saturday 18 May 2013

Re: [wanabidii] Hata Kama Katuni Hii Sikuipenda, Lakini Leo Yanga Hawatetei Ubingwa wao!

Maggid

Hapo mtani umeula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua, kipigo kwa simba ni lazima. Presha itoke wapi wakati tayari ubingwa tulishaupata. Hizi mechi za kukamilisha muda hazitupi shida. Subiri utaona na kisha utaamua kuachana na mnyama.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>;
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: [wanabidii] Hata Kama Katuni Hii Sikuipenda, Lakini Leo Yanga Hawatetei Ubingwa wao!
Sent: Sat, May 18, 2013 11:08:44 AM

Ndugu zangu,

Katuni hiyo hapo juu sikuipenda kwa vile soka haihusiani na mapanga. Lakini tukija kwenye leo, naomba niweke tafsiri sahihi ya mechi ya leo. Ni kwamba Ligi hapa kwetu ni Simba na Yanga. Sasa kama mechi ya kwanza Simba na yanga tulitoka droo ina maana bingwa halisi wa Tanzania atapatikana katika mechi ya leo. Hivyo, Yanga wanalazimika kutetea Ubingwa wao leo.

Na nionavyo, Simba tuna nafasi nzuri ya kuwafunga Yanga. Simba ya sasa ina kikosi kizuri chenye ari cha wachezaji vijana na wenye kiu ya ushindi. Yanga watacheza under pressure. Matarajio ni makubwa sana kutoka kwa wapenzi wao.

Naomba nitangulize salamu za pole kwa watani wetu wa jadi!

Maggid,
Iringa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment