Friday 17 May 2013

Re: [wanabidii] HALI YA MTWARA 17/05/2013


On 17 May 2013 17:49, "Sylvanus Kessy" <frkessy@yahoo.com> wrote:
>
> Ndg wanabidii
> Niwajuze walao kwa kifupi hali ya Manispaa ya Mtwara leo. Ni kwamba Mtwara kumekuwa kama kumekumbwa na msiba mkubwa sana. Hakuna duka lililofunguliwa, hakuna mabasi wala boda boda kusafirisha abaria. Sokoni nako kulinuna kabisa. Meza zilifunikwa maturubali au masalfeti yaliyounganishwa. Kijumla Mtwara leo kumenuna.
>
> Sababu yake ni kwamba; ilijulikana kwa wengi kuwa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini itasomwa leo. Na kulikuwa na vipeperushi vilivyohimiza watu kusikiliza kwa makini. Na kama habari ya Gas Mtwara haitaeleweka tuanze vitu vyetu. 
>
> Hali hiyo ilizua hofu kwa watu wote na ndiyo maana Mtwara leo kumenuna. 
>
> nawakilisha.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment