Friday 17 May 2013

Re: [wanabidii] Fwd: SHUKRANI ZA PEKEE KWA KUSHIRIKI KATIKA MSIBA WA NDUGU ERNEST BARIGEA SAMWEL

poleni sana hasa kwa familia jamani, namkumbuka tulizoea kumwita jaji chuoni dit



From: Novatus Kambota <novakambota@gmail.com>
To: danfordmoses@yahoo.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Friday, May 10, 2013 5:54 PM
Subject: [wanabidii] Fwd: SHUKRANI ZA PEKEE KWA KUSHIRIKI KATIKA MSIBA WA NDUGU ERNEST BARIGEA SAMWEL

---------- Forwarded message ----------
From: mpesoco <mpesoco@gmail.com>
Date: Fri, 10 May 2013 13:17:48 +0300
Subject: SHUKRANI ZA PEKEE KWA KUSHIRIKI KATIKA MSIBA WA NDUGU ERNEST
BARIGEA SAMWEL
To: vetaez@yahoo.com, easternzoneprovider
<easternzoneprovider@yahoo.com>, kanzaamani@yahoo.com,
novakambota@gmail.com

Uongozi wa chuo cha BEST SCHOOLS AND COLLEGES kilichopo Mkuranga Pwani
kwa namna ya pekee kabisa tunapenda kutoa shukrani za pekee kwa watu,
taasisi, mashirika, ndugu, jamaa na marafiki wote walioshiriki katika
mazishi ya Mkurugenzi wetu Ndugu Ernest Barigea Samwel yaliyofanyika
mwanzoni mwa mwezi wa 5 mwaka huu 2013.

Kwa namna ya pekee kabisa napenda kutoa shukrani za pekee kwa wafuatao;

-VETA kanda ya Mashariki
-Umoja wa wakuu wa vyuo kanda ya Mashariki EVETPA

Sambamaba na shukrani hizi naambatanisha TANZIA ya marehemu Ernest
Barigea Samwel pamoja na picha yake kwaajili ya kumbukumbu.

BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!

Novatus .S. Kambota
Education and Training Manager
BEST schools and Colleges
Mobile; 0712 544237

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



0 comments:

Post a Comment