Wednesday 15 May 2013

Re: [wanabidii] Fw: BORA UENDE ULAYA KWA MGUU KULIKO NZEGA - TABORA

Alexander hii habari ya barabara ya Nzega Tabora ni kitendawili miaka na miaka haiishi. Toka wakandarasi waanze kuikwangua hadi leo sijaona hata kipande kilichowekwa lami na baada ya hii mvua kupita imeharibika ndio usiseme na wakandarasi wamo humo humo barabarani.Wakati mwingine tunalazimika kupitia Nsimbo au Bukene kuelekea Tabora kutokea Nzega
Suleiman Swalehe

2013/5/15 Alexander Ntonge <ntongeboss@yahoo.co.uk>
Hivi huu ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka nzega mpaka tabora mjini ambao tunaambiwa unaendelea vizuri lakini hamna chochote utakamilika lini, maana inasikitisha sana mtu unatumia zaidi ya masaa 8 kwa umbali wa km si zaidi ya 170, hii kweli ni haki wajameni

--- On Wed, 24/4/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Fw: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 24 April, 2013, 12:24

Sio utani kweli nisingeondoka, hahahahah hahahahah hahahahahahaha.
 
Ambacho Kigwa hajawaambia kingine ni kuwa:
 
> Ni mji uliopangwa ukapangika. Nafikiri ndio mji uliojengwa kwa mipango mizuri pengine kuliko yote Tanzania. Niko serious kwenye hili
 
> Ni mji ambao wenyeji wanajua wapi yanapangwa mawe kwa ajili ya wasafiri kuporwa mali zao na kuumizwa. Kipande cha njia panda ya Kilimi mpaka njia panda ya mgodini ni kipande hatari na hata Kigwa anajua ninachozungumzia
 
> Vyakula viko very cheap
 
> Maji sio bomba kivile ila inategemea unakaa wapi.
 
> Kuna nafasi za kutembea weekend kwenye fukwe za bwawa la Uchama, lol!
 
> Mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeeeeee, vitu lainiiiiiiiiiiiiii kule mgege
 
Nendeni Nzega jamani mkasaidie kutibu watu.

2013/4/24 salum mkango <salumkango@yahoo.com>
Hahahahaa hii ya Denis kung'ang'ania Nzega kwa kuamua kubadilisha fani nimeipenda. Na si kama mgodi kufungwa asingeondoka pale. Hahahahahaa. Ni utani tu.
 
From: gm <gm26may@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, April 24, 2013 1:18 PM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!

Aha aha aha aha

Naona HK umeamua nawewe kufagilia Nzega

Hapo penye wachumba sijui kama Dennis keshapasoma maanake pamoja na kuwa yeye ni engineer anaweza amua kubadili fani ghafla

Waungwana opportunity never come twice, please grab it

gm

-----Original Message-----
From: hkigwangalla@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 24 Apr 2013 10:05:56
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Fw: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!

------Original Message------
From: Hon. Dr. Hamisi Kigwangalla
To: muxalumni@googlegroups.com
ReplyTo: Hon. Dr. Hamisi Kigwangalla
Subject: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!
Sent: Apr 24, 2013 12:24 PM

Jamani eh,

Naomba niwafikishie taarifa kwamba Nzega, ambapo mimi ni Mbunge, kuna nafasi tatu za madaktari wa tiba (Medical Doctors), wanaotafuta ajira tafadhali tuwasiliane ili tuwezeshe mchakato wa ajira hizo kufanikiwa.
Ndugu zangu, ukipata ajira Nzega utapapenda tu na hautotamani kuondoka! Maana ni rahisi kufika popote pale, kuna lami kutoka Dar -Nzega - Mwanza na sasa tunajenga lami nyingine toka Nzega - Tabora. Tabora kuna kiwanja kikubwa cha ndege kinakamilishwa, pia kuna kiwanja cha ndege Shinyanga na precisionair inatua kila siku - Shinyanga ni 45min away tu.
Kuna mawasiliano mazuri na rahisi ya simu za viganjani - airtel, vodacom, tigo na zantel - zote zinapatikana. Kuna mawasiliano mazuri ya internet kwa modem zote. Kuna umeme wa grid usio na shida. Hospitali ni kubwa na ni kongwe, ina theatre na wards zote. DMO ni colleague Dr. Mwombeki, ni mtu safi tu. Nyumba za kuishi zipo. Kuna viwanja vya kutosha vya kujirusha (kwa wale washabiki, kama mimi). Hali ya hewa si ya joto wala baridi, ni nzuri sana. Hakuna vumbi wala udongo wa kunata wa tope. Kuna fursa za kufanya biashara za kumwaga. Kuna wachumba wazuri (kwa wale walio serious tu!)

Karibuni makomredi na ma-colleagues!

Regards,
HK.

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment