Hivi huu ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka nzega mpaka tabora mjini ambao tunaambiwa unaendelea vizuri lakini hamna chochote utakamilika lini, maana inasikitisha sana mtu unatumia zaidi ya masaa 8 kwa umbali wa km si zaidi ya 170, hii kweli ni haki wajameni
--- On Wed, 24/4/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Fw: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs! To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, 24 April, 2013, 12:24
Sio utani kweli nisingeondoka, hahahahah hahahahah hahahahahahaha. Ambacho Kigwa hajawaambia kingine ni kuwa: > Ni mji uliopangwa ukapangika. Nafikiri ndio mji uliojengwa kwa mipango mizuri pengine kuliko yote Tanzania. Niko serious kwenye hili > Ni mji ambao wenyeji wanajua wapi yanapangwa mawe kwa ajili ya wasafiri kuporwa mali zao na kuumizwa. Kipande cha njia panda ya Kilimi mpaka njia panda ya mgodini ni kipande hatari na hata Kigwa anajua ninachozungumzia > Vyakula viko very cheap > Maji sio bomba kivile ila inategemea unakaa wapi. > Kuna nafasi za kutembea weekend kwenye fukwe za bwawa la Uchama, lol! > Mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeeeeee, vitu lainiiiiiiiiiiiiii kule mgege Nendeni Nzega jamani mkasaidie kutibu watu. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment