Monday 20 May 2013

Re: [wanabidii] Bw. Maxence Mubyazi - MWANZILISHI MWENZA WA JAMIIFORUMS APATA AJALI

Mtu amepata ajali shukrani zote ziwaendee wana CCM wa Nzega!
Ana bahati kuwa hapo alipopatia ajali palikuwa na wana CCM watupu............na hao waliochukua simu sijui inakuwaje sasa!!!!!

2013/5/19 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Mwanzilishi wa ukumbi maafuru Watanzania mtandaoni kwa mijadala
mbalimbali, Bwana Maxence Melo, katika ukurasa wake wa Facebook
ziliwekwa taarifa muda mchache uliopita kuwa amepatwa na ajali mbaya
huko katika maeneo ya wilaya ya Nzega, mkoani Tabora.

Taarifa hiyo fupi pia imetaarifu kuwa gari walimokuwemo lilizunguka
mara 6 na kuharibika vibaya (tizama picha iliyopchikwa hapo chini).
Walikuwa njiani kuelekea mkoani Kagera. Hali yake si mbaya sana
ingawaje mdogo wake aliyevunjika mkono hali yake si nzuri. Wote
wamefanyiwa utaratibu kwa ajlili ya kuwahishwa hospitalini Bugando,
Mwanza.

Imemaliza taarifa hiyo kwa kuwashukuru wana CCM wa Nzega kwa msaada
walioutoa na kuomba taarifa hii isambazwe ili iwafikie marafiki wote
kwani simu zake zote zimeibwa kwenye eneo la ajali na hivyo
hapatikaniki kwa yeyote atakayejaribu kumfikia kwa njia hiyo.

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2TjdTD5NO

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment