Sunday 5 May 2013

Re: [wanabidii] BREAKING NEWS - MLIPUKO MKUBWA UNAOSADIKIWA KUWA NI BOMU UMELIPUKA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Hili jambo ni baya sana jamani..... MWENYEZI MUNGU atunusuru.....

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS - MLIPUKO MKUBWA UNAOSADIKIWA KUWA NI BOMU UMELIPUKA KANISA KATOLIKI ARUSHA
Sent: Sun, May 5, 2013 9:40:10 AM

Hii ni habari mbaya sana kwa nchi yetu. Tuombe uvumilivu, na umoja katika kipindi hichi kigumu na kuwaombea majeruhi - ndugu zetu. Ni bora vyombo vya ulinzi na usalama vikafanya uchunguzi wa haraka. Uchunguzi huru, ulio wazi na kuwashughulikia waliosababisha hili janga la kutengenezwa. Katika hili, ingekuwa bora vyombo vya dola vikaweka, siasa na udini pembeni ili kuinusuru nchi yetu. Tanzania daima iwe mbele. Lakini kama haya mambo yataendelea kuchunguzwa kwa siri, na matokeo yake yakaendelea kuwa ya kibabaishaji, basi jamii itaendelea kukumbwa na mashaka na usalama wa nchi utaendelea kuwa hatarini.

Mungu ibariki Tanzania

2013/5/5 Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
Redio Maria ipo hewani ikitangaza juu ya tukio la mlipuko mkubwa unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa ikiendelea.

Leo kulikuwa na uzinduzi wa Parokia mpya ya Olasit mjini Arusha. Mgeni rasmi alikuwa Mwakilishi wa Papa toka Vatican. Kulikuwa na wageni wengi waliambatana na mwakilishi wa papa, wakiwemo maaskofu, mapadre na watawa kutoka mataifa mbalimbali.

Mtoto mmoja ameeleza kuwa aliona watu waliokuwa kwenye mini bus wakirusha kitu kuelekea kwenye mkusanyiko wa wakristo waliokuwepo kwenye ibada.

Taarifa zinaeleza kuwa eneo kubwa limetapakaa damu, watu wengi wamejeruhiwa. Inasadikiwa kuwa wapo waliokufa lakini haijathibitika. Muda huu vyombo vyote vya usalama vipo eneo la tukio.

Kwa update zaidi sikiliza Radio Maria http://streema.com/radios/play/6848.

Hivi sasa kuna taharuki kubwa, na kuna taarifa ya milipuko mingine, haijulikani kama ni ya washambuliaji au ya polisi, mbali na eneo la ibada.

Nawapeni pole nyingi waliokumbwa na mkasa huu, wakatoliki, wakristo wote na wanaolitakia amani Taifa letu.

Bart

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment