Monica Huyu ni muhaya hawezi kubadilika kabisa, kama unadhani nakutania mwambie akutamkie neno 'ng'ombe" kama hatatamka ...... ngombe... wahaya bwana. Kwetu mara wanfundishwa kwa kiboko ndio watarekebishika kwa haraka. Teh teh teh ... just a joke. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>;
To: Wanabidii googlegroup <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: RE: [wanabidii] Rais Obama kutembelea Tanzania Juni?
Sent: Sat, May 18, 2013 8:33:53 AM
Dr. umenena vyema ila tuu kiswahili jitahidi mkuu badala ya husije ni usije na badala ya husiozingatia ni usiozingatia. Good day. From: kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com To: wanabidii@googlegroups.com Subject: RE: [wanabidii] Rais Obama kutembelea Tanzania Juni? Date: Sat, 18 May 2013 07:59:02 +0000 Muganda, Tanzania si nchi yenye utawala bora kama ilivyokuwa Ghana alipoitembelea ikiongozwa na marehemu Rais John Atta Mills, ila kama ilivyo Rwanda, ni nchi muhimu katika kulinda maslahi ya Marekani DRC na Somalia. Hivyo hivyo Africa ya Kusini. Halafu kumbuka kumegunduliwa mafuta, gasi na urani hapa kwetu na husije ukadhani Rais Obama nitofauti sana na Rais Bush inapokuja kwenye kulinda masilahi ya Marekani. Hata uhusiano wa Marekani na Urusi ya Rais Putin na China ya chama cha Kikomunisti cha China hii ya leo ya 'state capitalism' ni uhusiano husiozingatia maswala ya eti nchi kuwa ya kidemokrasia. Wapambanaji wa kuimiza kuwepo kwa demokrasia pana Tanzania watumie ziara hiyo kuimiza Marekani kuaacha kuwabemba mafisadi ndani ya chama tawala cha CCM kwani ilo halina manufaa katika kulinda maslahi ya kudumu ya Marekani sehemu hii ya dunia mbele ya safari. Mwl. Lwaitama Date: Fri, 17 May 2013 19:12:16 +0100 From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk Subject: Re: [wanabidii] To: wanabidii@googlegroups.com; emuganda@gmail.com
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>; To: <wanabidii@googlegroups.com>; Subject: Re: [wanabidii] Sent: Fri, May 17, 2013 5:59:20 PM
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment