Saturday 25 May 2013

Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?

Godfrey,
 
Mimi nimekanusha taarifa kwamba Membe alisemwa kwenye mkutano huo, na kwamba Dr Kigwangallah alisema Mkuu wa Mkoa aondolewe kwa sababu ya uhusiano mbaya na Shehe na kuashiria udini. Dr Kigwangallah alipendekeza viongozi wakuu wa Serikali Mtwara wawajibishwe, - yaani kamati nzima ya Ulinzi na Usalama.
 
Lakini pia Munde hakuwepo kwenye mkutano, sijui angeongeaje mambo hayo, Hawa Ghasia naye hakuchangia hoja yoyote. Kwa kweli uzushi wa namna hii unania ya kuchafua kabisa.
 
Sijui namna ya kuthibitisha hili labda, lakini nasema mbele ya Mungu kwamba huu ni upotoshi mbaya na aliyeandika kama anasoma maneno haya Mungu amsamehe na ampe moyo mpya aache kuchafua wenzake kwa sababu yoyote, hata kama ni mbio za 2015 huu siyo ustaarabu.
 
Hivi kwa nini JF waandishi wengi hasa wale wanaotukana na kuleta maneno ya kuchafua na kuchonganisha wanaandika wakiwa wameficha identity?, na moderators wa JF wanaona sawa tu.. Nawaomba moderators wahamasisheni watu wenu kuwa wao halisi..
 
Aliyeileta makala hii Wanabidii na Mabadiliko awaambie ukweli kwamba habari hiyo ilikuwa imepotoshwa kwa kiwango siyo cha kuvumilia. Mtu huyo anihitajika kushitakiwa kabisa, japokuwa ni taabu kujua identuty yake..
 
Naomba nikurejeshe kwenye makala hiyo iliyotoka JF (angalia mandishi mekundu hapo chini - ni ya uongo kabisa). Wapo wabunge wengine wanaosoma ujumbe huu wanajua niyasemayo ni kweli tupu kwa vile Mungu ndiye aongozaye. Hata mwandishi wa ujumbe huo anajua moyoni mwake kuwa aliandika kwa nia mbaya tena akiwa ameficha identity.
 
Godfrey washauri moderators wa JF waondoe post hiyo ya uongo na ya kupaka matope, lakini pia waweke ulazima wa watu kutumia true identy zao, vinginevyo Great THINKERS will always be Great MONGERS
 
Mungu akubariki
 
Ngw'izukulushilinde
 
================================
Dr. Hii habari imekaaje? imejadiliwa sana Jamii Forum unaweza kutusaidia
> kutupa maelezo.
>
> REF: Wabunge wa CCM
> wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard membe kuwa ni kinara wa Fujo na
> vurugu
> zinazoendelea mtwara, wa Kwanza
> kuchangia alikuwa ni mbunge wa newala ,alisema membe ni mtu hatari na ni
> kirusi
> Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini murji na misikiti
> kumchafua
> waziri wa serekali za mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa
> Ghasia
> ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia murji
,na murji
> kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi
> January
> nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti
> Jana
> tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti
> nimegundua
> ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari
> sana
> kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'
>
> Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment
> membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii
> inasikitisha ,Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah
> ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana
> mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki
> apelekwe
> muislamu.
>
> Alexander

====================================

--- On Sat, 5/25/13, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Subject: Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?
To: "Spam Moderators" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Saturday, May 25, 2013, 5:31 PM

Lisemwalo Lipo.

Nicomedes M. Kajungu
General Secretary
National Union of  Mines and Energy Workers  of Tanzania.
(NUMET)
P.O.Box 7733, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
        +255 767 48 32 71,
        +255 719 451 850

Email: numet4ever@gmail.com
nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

2013/5/25 Godfrey <gjkundi@gmail.com>
Dakta, unajua ukidhibitisha habari ile ni uwongo na imepotoshwa kwa kiasi hicho unachokisema, itaondolewa na moderators. Kwanini usiwe sehemu ya kuweka historia sawa badala ya kulalamikia huku ambapo mods wa JF hawataweza kufanya lolote?

Unless unaendeleza propaganda za kwamba JF inaichafua serikali na wateuliwa wake watukufu.
Naamini wewe ni tofauti, hukuwahi kukimbia mjadala hata wenye kukudhalilisha utu au imani yako. Ingependeza ukali-report swala hili kwule JF.

Sent from my iPad

On May 25, 2013, at 1:04 PM, Peter Kafumu <kafumu@yahoo.com> wrote:

Godfrey

JF great thinkers, wanaruhusu kutangaza habari za kuchafuana wanaweza kugeuka kuwa JF great mongers. JF wanatakiwa kujenga heshima ya kuaminika, vinginevyo!!!!

Ngw'izukulushilinde

On 25 May 2013, at 11:57, Godfrey <gjkundi@gmail.com> wrote:

Dakta, habari hiyo sio ya JF bali ya user aliyepost huko.
Habari za JF ni user jenerated content....usiwatuhumu JF. Mtuhumu huyo agent wa kundi la urais ambalo wewe na Kigwa hampo huko bali kundi jingine.

Sent from my iPad

On May 25, 2013, at 3:07 AM, Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com> wrote:

Wanambadiliko,
 
Nimekerwa na mjadala huu, unaotokana na uongo wa dhahiri kutoka Jamii Forum na naandika maneno haya kwa nguvu ya Roho wa Mungu ili msema uongo na aumbuke mbele ya Mungu.
 
Inasikitisha na kukarahisha kuona uongo unaotungwa Jamii Forum ili kuchafua watu. Unaweza kuwadanganya watu kwa muda, lakini kifo kitakuumbua. Dhahiri Maneno yanayominishwa kusemwa na Dr Kigwangallah si yake, wala hakuyasema mkutanoni. Tuliokuwepo mkutanoni Dr Kigwa hakusema chochote kuhusu Membe bali alisema habari ya viongozi wa seriklai wa Mtwara (kamati ya Ulinzi na Usalama, mkoa na wilaya waondolewe kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kulinda amani ya eneo hilo. Mapendekezo hayo yaliungwa mkono na wabunge wengi.
 
Bernard Membe yeye hakuongelewa kabisabali Hawa Ghasia na Murji mbunge wa Mtwara mjini, waliotuhumiwa nawabunge wengi kuwa ndiyo chanzo cha mgogoro huo. Ukiosma habari hiyo Jamii Forum inaonekana imeandikwa na mtu kwa kuficha identity akilenga kumchafua Membe na Kigwangala, na nadhani  ni agent wa kundi jingine la urais. Nchi hii uongo umekuwa silaha ya kwenda mbele. Bahati mbaya sana uongo ni silaha mfilisi ya shetani ambayo mwishoni huumbuka.
 
Hii ni janga kwa taifa, propaganda za kuchafuana na kutukanana zinachefua na kukarahisha, lakini uongo wa JF utajitenga siky moja. Mungu atende kazi yake.
 
Tumwombe Mungu Shetani yule lusifeli wa kale ashindwe, na nchi yetu ivuke salama 2015
 
Mungu awabariki wote
 
Ngw'izukulushilinde
 
--- On Fri, 5/24/13, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:

From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, May 24, 2013, 4:34 PM

Ndugu Kitila
Kumbe upo humu?ndiyo naona post yako kwa mara ya kwanza,karibu sana

2013/5/24 Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
Hii ilinipita, ilikuwa wapi vile? kama ndio mijadala yenyewe, then kuna ukanjanja mwingi sana!

Dr Kitila Alexander Kanyama MKUMBO
Senior Lecturer in Psychology and Education
School of Education
University of Dar es Salaam
Tanzania

Currently:  
Dean, Faculty of Education, Dar es Salaam University College of Education (DUCE) of the   University of Dar es Salaam

2013/5/24 Mathew Bukhi <bukhimathew@gmail.com>
Chifu,

Ungechukua tu hatua za kisheria. Haya masuala ya matamko yameshazoeleka sana.
Kama ni uongo, chukua hatua za kisheria, ili tabia hii ikome mara moja.

On 24/05/2013, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
> Hayo yote ni ya uongo, nimeshauriwa na wanasheria wangu nitoe tamko lenye
> maelezo sahihi wakati wakitafuta namna ya kuchukua hatua za kisheria! Hivyo
> bado natafakari ushauri wa hatua sahihi za kuchukua.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 24 May 2013 04:19:27
> To: <chipalazya@yahoo.com>; <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?
>
> Alexander huu mjadala ulikwa wapi Bungeni? Naogopa kufikiri tumefikia hapo.
> Dalili za kuwa kuna uchochezi zilikuwa wazi. Jingine lililokuwa wazi
> sikuhisi ushiriki wa siasa za vyama vya siasa. Nilihisi ni 'vita baridi'
> kati ya China na nchi za magharibi. Pamoja na mjadala huu wazo langu lazima
> lifanyiwe kazi kwanza. Lakini sura ya maneno ya Hawa naweza kuleta wazo la
> ajabu. Kuwa maadui wa Membe wanaweza kulipanga na likatosha kumchafulia. Hii
> ikiwa na chembe ya ukweli dawa itakuwa kukiondoa CCM kwanza kikajikarabati
> na kuondoa kirusi cha makundi.
>
> ----------
> Sent from my Nokia Phone
>
> ------Original message------
> From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, May 23, 2013 5:20:05 PM GMT-0700
> Subject: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?
>
>
>
> Dr. Hii habari imekaaje? imejadiliwa sana Jamii Forum unaweza kutusaidia
> kutupa maelezo.
>
> REF: Wabunge wa CCM
> wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard membe kuwa ni kinara wa Fujo na
> vurugu
> zinazoendelea mtwara, wa Kwanza
> kuchangia alikuwa ni mbunge wa newala ,alisema membe ni mtu hatari na ni
> kirusi
> Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini murji na misikiti
> kumchafua
> waziri wa serekali za mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa
> Ghasia
> ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia murji ,na murji
> kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi
> January
> nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti
> Jana
> tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti
> nimegundua
> ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari
> sana
> kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'
>
> Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment
> membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii
> inasikitisha ,Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah
> ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana
> mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki
> apelekwe
> muislamu.
>
> Alexander
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal<
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment