Sunday 5 May 2013

Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] BREAKING NEWS - MLIPUKO MKUBWA UNAOSADIKIWA KUWA NI BOMU UMELIPUKA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Ee Mungu, tusaidie dhidi ya huyu Shetani anayesumbua makanisa hapa Tanzania

On 5/5/13, salum.transport@gmail.com <salum.transport@gmail.com> wrote:
> Nicomedes
> Nakushukuru umeeleza vizuri. Pia ningeomba wahalifu hawa tuwahukumu wao kama
> wakosaji na sio dini yao. Endapo tutanyoosheana vidole kwa dini zetu
> mtahukumu na wasiohusika kwa hiyo tuwatendee haki
>
> Salum
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 5 May 2013 22:40:07
> To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] BREAKING NEWS - MLIPUKO MKUBWA
> UNAOSADIKIWA KUWA NI BOMU UMELIPUKA KANISA KATOLIKI ARUSHA
>
> Tukikata tamaa ndo hali itakuwa mbaya zaidi, tunaziona juhudi za viongozi
> wa dini kutoka pande zote wanavyohangaika kuondoa tofauti ndogo ndogo
> zilizopo, tuwaunge mkono. Tatizo ni kwamba, wanaotekeleza ugaidi huu
> hawawashirikishi viongozi wao wa kiroho.
>
>
>
> Nicomedes M. Kajungu
> General Secretary
> National Union of Mines and Energy Workers of Tanzania.
> (NUMET)
> P.O.Box 7733, Mwanza.
> Cel: +255 782 315 688,
> +255 767 48 32 71,
> +255 719 451 850
>
> Email: numet4ever@gmail.com
> nicomedes76@gmil.com
> Skype add: nkajungu
>
>
> 2013/5/5 <salum.transport@gmail.com>
>
>> Godfrey
>>
>> You have gone too far. Please let the authority concerned to speak. Wewe
>> mwenyewe huna tofauti na hao unaowanyooshea kidole. Naomba tuwe na subra
>> kwani kuna taarifa ya waliokamatwa na ukweli utabainika tu
>>
>> Salum
>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Sun, 5 May 2013 20:13:58
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] BREAKING NEWS - MLIPUKO MKUBWA
>> UNAOSADIKIWA KUWA NI BOMU UMELIPUKA KANISA KATOLIKI ARUSHA
>>
>>
>> it is very sad..hata uchunguzi ungetoa taarifa gani,adui wa ukristo tz
>> wanajulikana..mi nafikiri watanzania tusipoteze muda kudhania tunayo
>> amani,hakuna amani hapa..mwingne mungu wake anamwamuru aue asiye wa dini
>> yake,na mwingne anaamriwa na mungu wake ampende hata adui yake. Watu hawa
>> huwa hawachangani.ni tz pekee ndio nchi iliyofanikiwa kuwa na mchangamano
>> wa kidini na watu wakaish kwa amani.na sifa hiyo ndo inapotea hivyo.amani
>> ya nchi hii itakuwepo tu pale kundi la watu hawa wenye mlengo wa kushoto
>> watapothbitiwa barabara,hata kama hawapendi.huo ndio ukweli.ngupula
>>
>>
>>
>> ------------------------------
>> On Sun, May 5, 2013 1:20 PM EEST Kephas Nzali wrote:
>>
>> >Poleni sana Wana Arusha na watanzania kwa ujumla. Tupo pamoja kwenye
>> > haya
>> majonzi.
>> >
>> >Sent from my iPhone
>> >
>> >On 05/05/2013, at 12:51, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:
>> >
>> >> Joseph unamainisha Nchimbi ipi isitawalike?
>> >>
>> >>
>> >> 2013/5/5 Joseph Kulangwa <kulangwa@yahoo.com>
>> >> Jamani tunalipeleka wapi Taifa hili? Hivi kweli tumechoka Amani! Tuwe
>> serious na hao wanaotaka Nchimbi isitawalike. Tusifanye mchezo na haya
>> tutaumbuka kwa kuoneana aibu na kuogopana.
>> >>
>> >> Sent from my iPhone
>> >>
>> >> On May 5, 2013, at 2:40, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:
>> >>
>> >> Hii ni habari mbaya sana kwa nchi yetu. Tuombe uvumilivu, na umoja
>> katika kipindi hichi kigumu na kuwaombea majeruhi - ndugu zetu. Ni bora
>> vyombo vya ulinzi na usalama vikafanya uchunguzi wa haraka. Uchunguzi
>> huru,
>> ulio wazi na kuwashughulikia waliosababisha hili janga la kutengenezwa.
>> Katika hili, ingekuwa bora vyombo vya dola vikaweka, siasa na udini
>> pembeni
>> ili kuinusuru nchi yetu. Tanzania daima iwe mbele. Lakini kama haya mambo
>> yataendelea kuchunguzwa kwa siri, na matokeo yake yakaendelea kuwa ya
>> kibabaishaji, basi jamii itaendelea kukumbwa na mashaka na usalama wa
>> nchi
>> utaendelea kuwa hatarini.
>> >>
>> >> Mungu ibariki Tanzania
>> >>
>> >>
>> >>
>> >> 2013/5/5 Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
>> >> Redio Maria ipo hewani ikitangaza juu ya tukio la mlipuko mkubwa
>> unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa
>> ikiendelea.
>> >>
>> >> Leo kulikuwa na uzinduzi wa Parokia mpya ya Olasit mjini Arusha. Mgeni
>> rasmi alikuwa Mwakilishi wa Papa toka Vatican. Kulikuwa na wageni wengi
>> waliambatana na mwakilishi wa papa, wakiwemo maaskofu, mapadre na watawa
>> kutoka mataifa mbalimbali.
>> >>
>> >> Mtoto mmoja ameeleza kuwa aliona watu waliokuwa kwenye mini bus
>> wakirusha kitu kuelekea kwenye mkusanyiko wa wakristo waliokuwepo kwenye
>> ibada.
>> >>
>> >> Taarifa zinaeleza kuwa eneo kubwa limetapakaa damu, watu wengi
>> wamejeruhiwa. Inasadikiwa kuwa wapo waliokufa lakini haijathibitika. Muda
>> huu vyombo vyote vya usalama vipo eneo la tukio.
>> >>
>> >> Kwa update zaidi sikiliza Radio Maria
>> http://streema.com/radios/play/6848.
>> >>
>> >> Hivi sasa kuna taharuki kubwa, na kuna taarifa ya milipuko mingine,
>> haijulikani kama ni ya washambuliaji au ya polisi, mbali na eneo la
>> ibada.
>> >>
>> >> Nawapeni pole nyingi waliokumbwa na mkasa huu, wakatoliki, wakristo
>> wote na wanaolitakia amani Taifa letu.
>> >>
>> >> Bart
>> >> --
>> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> ---
>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>> >>
>> >> TEMBELEA Facebook yetu:
>> >> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>> >>
>> >> For more options, visit this group at:
>> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> >>
>> >> ---
>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>
>> >>
>> >
>> >--
>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>> >
>> >Disclaimer:
>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >---
>> >You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> "Wanabidii" group.
>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment