Sunday 5 May 2013

Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] BREAKING NEWS - MLIPUKO MKUBWA UNAOSADIKIWA KUWA NI BOMU UMELIPUKA KANISA KATOLIKI ARUSHA

it is very sad..hata uchunguzi ungetoa taarifa gani,adui wa ukristo tz wanajulikana..mi nafikiri watanzania tusipoteze muda kudhania tunayo amani,hakuna amani hapa..mwingne mungu wake anamwamuru aue asiye wa dini yake,na mwingne anaamriwa na mungu wake ampende hata adui yake. Watu hawa huwa hawachangani.ni tz pekee ndio nchi iliyofanikiwa kuwa na mchangamano wa kidini na watu wakaish kwa amani.na sifa hiyo ndo inapotea hivyo.amani ya nchi hii itakuwepo tu pale kundi la watu hawa wenye mlengo wa kushoto watapothbitiwa barabara,hata kama hawapendi.huo ndio ukweli.ngupula

------------------------------
On Sun, May 5, 2013 1:20 PM EEST Kephas Nzali wrote:

>Poleni sana Wana Arusha na watanzania kwa ujumla. Tupo pamoja kwenye haya majonzi.
>
>Sent from my iPhone
>
>On 05/05/2013, at 12:51, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:
>
>> Joseph unamainisha Nchimbi ipi isitawalike?
>>
>>
>> 2013/5/5 Joseph Kulangwa <kulangwa@yahoo.com>
>> Jamani tunalipeleka wapi Taifa hili? Hivi kweli tumechoka Amani! Tuwe serious na hao wanaotaka Nchimbi isitawalike. Tusifanye mchezo na haya tutaumbuka kwa kuoneana aibu na kuogopana.
>>
>> Sent from my iPhone
>>
>> On May 5, 2013, at 2:40, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:
>>
>> Hii ni habari mbaya sana kwa nchi yetu. Tuombe uvumilivu, na umoja katika kipindi hichi kigumu na kuwaombea majeruhi - ndugu zetu. Ni bora vyombo vya ulinzi na usalama vikafanya uchunguzi wa haraka. Uchunguzi huru, ulio wazi na kuwashughulikia waliosababisha hili janga la kutengenezwa. Katika hili, ingekuwa bora vyombo vya dola vikaweka, siasa na udini pembeni ili kuinusuru nchi yetu. Tanzania daima iwe mbele. Lakini kama haya mambo yataendelea kuchunguzwa kwa siri, na matokeo yake yakaendelea kuwa ya kibabaishaji, basi jamii itaendelea kukumbwa na mashaka na usalama wa nchi utaendelea kuwa hatarini.
>>
>> Mungu ibariki Tanzania
>>
>>
>>
>> 2013/5/5 Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
>> Redio Maria ipo hewani ikitangaza juu ya tukio la mlipuko mkubwa unaosadikiwa kuwa kusababishwa na bomu la kurushwa wakati ibada ilipokuwa ikiendelea.
>>
>> Leo kulikuwa na uzinduzi wa Parokia mpya ya Olasit mjini Arusha. Mgeni rasmi alikuwa Mwakilishi wa Papa toka Vatican. Kulikuwa na wageni wengi waliambatana na mwakilishi wa papa, wakiwemo maaskofu, mapadre na watawa kutoka mataifa mbalimbali.
>>
>> Mtoto mmoja ameeleza kuwa aliona watu waliokuwa kwenye mini bus wakirusha kitu kuelekea kwenye mkusanyiko wa wakristo waliokuwepo kwenye ibada.
>>
>> Taarifa zinaeleza kuwa eneo kubwa limetapakaa damu, watu wengi wamejeruhiwa. Inasadikiwa kuwa wapo waliokufa lakini haijathibitika. Muda huu vyombo vyote vya usalama vipo eneo la tukio.
>>
>> Kwa update zaidi sikiliza Radio Maria http://streema.com/radios/play/6848.
>>
>> Hivi sasa kuna taharuki kubwa, na kuna taarifa ya milipuko mingine, haijulikani kama ni ya washambuliaji au ya polisi, mbali na eneo la ibada.
>>
>> Nawapeni pole nyingi waliokumbwa na mkasa huu, wakatoliki, wakristo wote na wanaolitakia amani Taifa letu.
>>
>> Bart
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment