Friday 5 April 2013

[wanabidii] ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA



----- Forwarded Message -----
From: Mwahija Juma <mwahija_juma@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, April 5, 2013 11:52 PM
Subject: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA

Rejea barua ya Zitto kwenye mitandao. (Chadema Taifa Vipande vipande)

Yawezekana Zitto alikuwa na nia nzuri alipoandika barua hiikwa Katibu wake Mkuu.Naibu Katibu Mkuu anamwandikia Katibu Mkuu. Lakini kutokaofisi ya Naibu Katibu Mkuu, na Ofisi ya Katibu Mkuu ni mita mbili, je aliendakushauriana na Katibu Mkuu kuhusu suala hilo? Kama alikwenda walikubaliananini? Je kulikuwa na haja ya kuandika barua kwa mawasiliano yao na kuwekanakala kwa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu na Kurugenzi yaHabari na Uenezi, huku akitoa nakala kwa Mkurugenzi aliye kizimbani?

Suala la kumwajibisha Lwakatare ni suala linalohitaji vikao,je Zitto alisubiri vikao ili atoe mawazo yake yakakataliwa? Je yeye Zitto alihudhuria kikao kile? Je kulikuwa naharaka gani kumwondoa Lwakatare katika nafasi baada tu ya kutuhumiwa. Nafasiyake kama Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema inazuia vyombo vingine vyaUlinzi na Usalama vya serikali kutekeleza majukumu yake hadi tuseme kuwaanahitajika kupisha uchunguzi?. Huyu sio Waziri wa serikali ambaye vyombo vyaUchunguzi vyaweza kumwogopa katika Uchunguzi
Zitto ametumia akili ya kutosha aweze kujionyesha kwa jamii,na akagawa nakala ya barua hizo kwa watu wengine ili aondokane na hatia yakuileta barua hiyo katika mitandao ya Kijamii. Ikumbukwe, Siku wakati MwiguluNchemba anatamka kuwa ana mkanda unaoonyesha Viongozi wa Chadema wakiratibumauaji alikuwa Star TV. Zitto alikuwa na Mwigulu, na Mtatiro. Zitto kama NaibuKatibu Mkuu wa Chama kilichotuhumiwa, hakuhoji tuhuma hizo katika Televisheni,wala hakuonekana kushituka.

Kwa mujibu wa barua yake anasema kuwa Chama kimeshatoatamko, atumbie tamko la Chama ni lipi juu ya tuhuma ya Lwakatare, tamko hiloanalodai Zitto limetolewa atuambie limetolewa lini? Lilitolewa na nani? Tena baadaya Kikao Kipi? . Wadau wanaofuatilia mambo ya Chadema, tangu sakata laLwakatare litajwe Kamati kuu ndio imekutana juzi, hatujajua kama keshowatazungumza hili.
Mpango unaotajwa kuasisiwa na Mwandishi wa habari, ambayekatika Mkanda wa video ya Lwakatare iliyopo kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube haumtaji Denis Msaky aliyeamua kujipachika ili ionekane kuwa alikuwaanasakwa, pamoja na ushahidi wa wazi kuwa alimpigia Lwakatare siku moja akiwaanatoka Bukoba, kama alivyoonyesha Mkurugenzi wa Sheria na Katiba wa Chamahicho. Huo Mkakati hautafanikiwa. Zitto umetajwa mara nyingi sana, lakini hapaumejivua nguo mwenyewe, umeonyesha unavyonunulika, usivyofaa kwa mabadiliko naUhuru wa kweli. Chukua Pesa za CCM, lakini laana za Watanzania kamwe hutazikwepawala kuziepuka milele. Ulichokiandika hapa Chadema ni vipande vipande,tutaungana tu, maana wasaliti mtakuwa mmeondoka.

Jana kuna mmoja ya watu waliohongwa aligombana na MwiguluNchemba huku akilalamika kuwa mipango yote ya kuhongwa imevuja, na sasa pesaalizobaki nazo hatazitoa kwa wenzake ikiwezekana kujilinda kwa nguvu zozote.Zitto kuwa wazi, umetumika na katika hili hutaepuka laana ya Watanzaniawanaoona Chadema kuwatumaini lao la mabadiliko na Uhuru wa kweli


0 comments:

Post a Comment