Sunday 14 April 2013

[wanabidii] YANGA WAKIISHANGILIA SIMBA ,SIMBA WATAISHANGILIA AZAM?


Ndugu zangu,
Hebu tupumzishe bongo na hizo habari za Ugaidi,Udini na Siasa.
Leo bingwa wa kihistoria SIMBA SPORTS CLUB aka TAIFA KUBWA aka WEKUNDU WA MSIMBAZI anacheza na AZAM aka WANA LAMBALAMBA.
Mashabiki wa YANGA aka YEBO YEBO wanataka Mnyama Mkali ashinde ili nafasi yao ya kuchukua Ubingwa iwe nyeupe kwa maana hiyo inawezekana wakaishangilia Simba.
Sasa sisi wenye timu yetu tutafanyaje?
Matinyi msaada tafadhali.





Walewale.

0 comments:

Post a Comment