Wednesday 24 April 2013

[wanabidii] VURUGU CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe!
Lema
asakwa na polisi

Ni baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki
dunia.

Walipotoa taarifa kwa mkuu wa chuo hawaku pata msaada wowote.

Maanda mano yakaanza na taarifa zikafikishwa kwa mbunge Lema,nae bila
hiyana akawasili na kufanikiwa kuwatuliza wanachuo hao ( nyimbani kwa
Lema
si mbali na chuo hicho ni mwendo wa dakika 3).

Mkuu wa mkoa aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada
ya
kugundua uwepo wa Lema alianza kuongea mbovu ndipo wanachuo walipo
kasirika
na kuanza kumpiga mawe.

FFU nao wakaingia kazini hali ni mbaya sana lakini cha kushangaza
askari
mmoja aliwatonya wanachuo wamfiche Lema

Baada ya muda msako dhidi ya lema ulianza lakini mpaka sasa
hajulikani
alipo baada ya wanachuo kumficha kusiko julikana.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment